Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
Mwambie unajiheshimu, mashine yako ni kwa ajili ya kutengeneza familia njema na sio kifaa cha kutimiza ajenda za shetani akukome atulie na wakeUkisikia kufa kwa nyani ndo huku. Huwa ananiita "Mume wangu", binafsi huwa nachukulia ni utani. Juzi kafunguka kuwa ananipenda. Hakika dunia imekwisha. Ana ujauzito wa miezi saba na ni mkubwa tu. Mumewe ni mtu wa watu hapa mtaani, hana makuu na mtu. Leo ndo siku niliyomuahidi kumtupia ukuni ila roho inasita.
Naombeni ushauri. Nifanyeje?
Jamaa huenda anatufungaFanya kama kwenye avatar yako
Ndio huyo kwenye dp?Ukisikia kufa kwa nyani ndo huku. Huwa ananiita "Mume wangu", binafsi huwa nachukulia ni utani. Juzi kafunguka kuwa ananipenda. Hakika dunia imekwisha. Ana ujauzito wa miezi saba na ni mkubwa tu. Mumewe ni mtu wa watu hapa mtaani, hana makuu na mtu. Leo ndo siku niliyomuahidi kumtupia ukuni ila roho inasita.
Naombeni ushauri. Nifanyeje?
AiseePhantasy, Yani unawaza and wish that thing was real, mpaka unatunga, matatizo ya kukaa kwa shemeji ndo haya!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Fanya kama kwenye avatar yako
Dah[emoji28]Hiyo DP umeweka Ww mwenywe!! Sema Nafsi yako inakupeleka Puta Tu Unatamani wanawake wajawazito
Naona ni kama vile nakichafua kiumbe kilichoko tumboni mwake, na namkosea heshima mumewe, kwa kuwa huwa ananiwezesha pindi mambo yakienda mlama.Yaelekea umesha amua utakachofanya.
sijui unaomba ushari wa nini tena mkuu.
Wewe ni yupi hapaUkisikia kufa kwa nyani ndo huku. Huwa ananiita "Mume wangu", binafsi huwa nachukulia ni utani. Juzi kafunguka kuwa ananipenda. Hakika dunia imekwisha. Ana ujauzito wa miezi saba na ni mkubwa tu. Mumewe ni mtu wa watu hapa mtaani, hana makuu na mtu. Leo ndo siku niliyomuahidi kumtupia ukuni ila roho inasita.
Naombeni ushauri. Nifanyeje?
Kweli ww wamatukioUkisikia kufa kwa nyani ndo huku. Huwa ananiita "Mume wangu", binafsi huwa nachukulia ni utani. Juzi kafunguka kuwa ananipenda. Hakika dunia imekwisha. Ana ujauzito wa miezi saba na ni mkubwa tu. Mumewe ni mtu wa watu hapa mtaani, hana makuu na mtu. Leo ndo siku niliyomuahidi kumtupia ukuni ila roho inasita.
Naombeni ushauri. Nifanyeje?
Bado nina muda wa kufikiria. Huyu mama anakwenda kuchukua chumba lodge kwenye saa 10. Hadi kufikia saa 9 nitakuwa nshajua mbichi na mbivuUmeamuaje ?
Ukisikia kelelee usichungulie nje, jibebee mafuta kabisa. Wajawazito wanapitia mengi sana unaweza fikiri mapenzi ya dhati kwako kumbe mimba inamsumbua sasa peleka ukuni ukawashwe moto.Ukisikia kufa kwa nyani ndo huku. Huwa ananiita "Mume wangu", binafsi huwa nachukulia ni utani. Juzi kafunguka kuwa ananipenda. Hakika dunia imekwisha. Ana ujauzito wa miezi saba na ni mkubwa tu. Mumewe ni mtu wa watu hapa mtaani, hana makuu na mtu. Leo ndo siku niliyomuahidi kumtupia ukuni ila roho inasita.
Naombeni ushauri. Nifanyeje?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hatari sanaWewe ni yupi hapaView attachment 2349625
Mafuta ya kazi gani mkuu? [emoji848][emoji848]Ukisikia kelelee usichungulie nje, jibebee mafuta kabisa. Wajawazito wanapitia mengi sana unaweza fikiri mapenzi ya dhati kwako kumbe mimba inamsumbua sasa peleka ukuni ukawashwe moto.