Nimependwa na mama mjamzito. Kaniomba nimgegede, nifanyeje?

Achana na wake za watu pumbavu wewe unakuja kuomba ushauri ukamle mke wa mtu,na ingependeza ukienda naye huko lodge apate uchungu ili ukome.
 
Ipo hiyo kuna wanawake wanajifungua mimba ikiwa na miezi 7,halafu kuna mimba zingine zinatafutaga sababu ya kutoka kwahiyo kuwa makini.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwamba zinatafuta sababu
 
Inaonekana huna mtoto na unatamani sana kuitwa baba, nakushauri tuliza kichwa tafuta mwenza sahihi zaa naye.

Achana na hawa wanaotumia vijiti.
 
Kumbe ulimtongoza kabisa.

Shwaini kabisa wewe
 
Vijana tubuni, acheni kuendekeza uzinzi, nii dhambi ya mauti,unaingamiza nafsi yako na roho yako
 
Acha uongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…