Nimepewa kazi ya kumlinda Shemeji!!,

Nimepewa kazi ya kumlinda Shemeji!!,

Mr mgeni

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2014
Posts
1,222
Reaction score
805
Kaka kasafiri,kaniambia niende nyumbani kwake nikakae na shemeji nimlinde mpaka atakaporudi hofu imenijaaa sijui ni staili aliyozoe na mme wake aaaah!!mi sielewi buana anashinda na kanga tu tena anaifunga kifuani haifiki chini.

Inaishia katikati ya paja basi jamani nashindwa hadi kuvuta pumzi.tukikaa kuangalia movie anapenda zile za kizungu ambazo zina part-time za ngono.Basi kwa heshima na taadhima ikifika part ya malividavi najifanya nazuga natoka nje basi ananuna bala.

Jana ndo kanitolea kali kaangusha saa kimakusudi ananiita chumbani kwake niitengeneze na niirudishe ilipo kua yupo mtupu ananiambia shemeji usijali we ni sawa na mume wangu tu huku kanikumbatia jamani shemeji ngoja niweke vizuri.
.....itaendelea ngojeni ninywe chai kwanza.
 
Kaka kasafiri,kaniambia niende nyumbani kwake nikakae na shemeji nimlinde mpaka atakaporudi.
Hofu imenijaaa sijui ni staili aliyozoe na mme wake aaaah!!mi sielewi buana anashinda na kanga tu tena anaifunga kifuani haifiki chini inaishia katikati ya paja basi jamani nashindwa hadi kuvuta pumzi.tukikaa kuangalia movie anapenda zile za kizungu ambazo zina part-time za ngono.Basi kwa heshima na taadhima ikifika part ya malividavi najifanya nazuga natoka nje basi ananuna bala.
Jana ndo kanitolea kali kaangusha saa kimakusudi ananiita chumbani kwake niitengeneze na niirudishe ilipo kua yupo mtupu ananiambia shemeji usijali we ni sawa na mume wangu Tu..huku kanikumbatia.....jamani shemeji ngoja niweke vizuri...
.....itaendelea ngojeni ninywe chai kwanza.


Kwani shule zimefungwa au umejiiba tu?


Rudi darasani fasta.
 
Mleta uzi Mr mgeni nikuulize kidogo, Jee kaka yako tayari amepata mtoto/watoto? kama bado wana muda gani kwenye huo uhusiano wao? nijibu hayo mkuu halafu nitakupa ushauri mwanana nini cha kufanya.


Una maana kaka hana mbegu na mdogo mtu ndio kaambiwa afunike aibu ili usipotee?

[HASHTAG]#JustAsking[/HASHTAG]
 
Hizi nyuzi nina muda mref sanaa sijaziona humu ndani....
Mhhh napata shaka tunaweza kuwa nazo hizi nyuz kwa mda mrefu kidogo mpka lasaba watakapopangiwa shule za kwenda...
 
Back
Top Bottom