Nimepewa penzi na mke wa mtu ila sina amani

Hongera sana kwa kula MKE WA MTU CHOTARA.
 
Mm ni Single boy kwa sasa ila nlkuwa na mahusiano na mke wa mtu, Kuna siku nlkuwa nae akawa analalamika amegundua mumewe amechepuka na amepat mtoto nje nkamshangaa sana anaumia nn wakat na yeye anachepuka!?

Nmeachana nae rasmi mwezi uliopta tu na nkamuomba atulie na mume wake maana nlkuwa nkimuangalia jamaa roho inaniuma mno.
 
Karma is bitch
 
Sio faiza huyu?πŸ˜‚
 
Tembea na mafuta yako .
 
Mkuu ilibidi umuonee huruma jamaa kabla hujala tunda halafu ndo ufanye maamuzi ya kumuacha πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…