Nimepewa shikamoo na mwanamama umri kati ya miaka 38 na 45

Tuache double kick mkuu au???
 
Alafu ww kuna uzi, niliona huwa una story za uongo.

Asante kwa ule uzi, baadhi ya watu tumeanza kujua mauongo yenu ya kunogesha kijiwe..

Hahahah
 
Una uhakika unakula chakula bora,hauna msongo wa mawazo,haujawahi kupigwa na polisi hadi ukachakaa au unafanya kazi ngumu maishani na kuishi kuanzia mwisho kurudi mwanzo(kutoka uzee kurudi utoto)?Jichunguze.
 
Hapana mkuu, nilivaa modo yangu nyeusi ya kitambaa, tshirt yangu ya maloon yenye kola, sandle zangu nyeupe, kibegi changu cha mkanda begani, miwani myeusi na kisimu changu mkononi! [emoji3][emoji3]
Ulivaa km Usalama ndio maana,Hujawahi ona wanaamkia wajeda hata km watoto wao!
 
Alafu ww kuna uzi, niliona huwa una story za uongo.

Asante kwa ule uzi, baadhi ya watu tumeanza kujua mauongo yenu ya kunogesha kijiwe..

Hahahah
Mkuu, ile story ya maisha ya boarding ni ya kweli!
 
Uko sahihi mkuu Matola, mm nimesoma primary 1975 kuna nilisoma nao, tukikutana nawaamkia, kazi ngumu na pombe kali zinazeesha sana,
 
Hapana mkuu, nilivaa modo yangu nyeusi ya kitambaa, tshirt yangu ya maloon yenye kola, sandle zangu nyeupe, kibegi changu cha mkanda begani, miwani myeusi na kisimu changu mkononi! [emoji3][emoji3]
Ndiyo maana alikusalimia, unavaaje miwani myeusi ilihali umevaa sandle mguuni? We mnyaru wa wapi?
 
Achana na pombe za kwenye vichupa vya plastic kama double kick na Don

Kulikuwa hakuna sababu ya kutaja jina la brand with maximum negativity unaharibu biashara za watu.
 
Dogo unaonekana adolescence inakusumbua kwa chuo kikuu zamani mwaka 1990 tungesema una UH+++ Kali sana au una uhanga wa hali ya juu.
Dogo hapo mmama ameshakusoma anataka akuibie kasha ona una hali nzuri.
 
Ulijuaje umri wake!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…