Nimepiga bati juzi tu Nyumba inavuja hasa ikinyesha mvua ya upepo

Nimepiga bati juzi tu Nyumba inavuja hasa ikinyesha mvua ya upepo

Mtoa mada The golden unaweza mlipia fundi mzuri mwenye kujua kuezeka nauli yakuja huko ulipo na yakurudi na chakula kwa hizo siku na mahala pakufikia aje chapu na hutojutia
 
Uchecheme bachiii
FB_IMG_1694615996725.jpg
 
Pana zile muundo wa paa za kufunika bati eti kuokoa gharama sijui nani kawadanganya watu,zile ni staili za nyumba za jangwani au maeneo yenye upepo mkali kule ukiweka paa linaondoka na upepo hata ufunge wire paa.
Zinafuja balaa zile nyumba watu wanalia nazo
Hidden roof
 
Back
Top Bottom