Holly Star
JF-Expert Member
- Aug 25, 2018
- 4,327
- 8,142
Ni sehemu gani hasa inavuja?Tatizo ni nini watalaamu. Nimeezeka kwa bati za Kiboko rangi ya Maruni. Nyumba inavuja. Moyo unauma maana nimejikamua sana kuuzeka hii nyumba.
Maungio mkuuNi sehemu gani hasa inavuja?
Kwenye maungio?
Kwenye misumari?
Kwenye kofia?
Ni lazima ujue hili kwanza
Sent using Jamii Forums mobile app
Tafuta fundi mwingine arekebishe haraka kabla ya Elnino mwezi ujaoMaungio mkuu
Pamoja mkuu bahati nzuri sipapiga bodi ndani , vinginevyo ningepata hasara kubwa sana.Tafuta fundi mwingine arekebishe haraka kabla ya Elnino mwezi ujao
Sent using Jamii Forums mobile app
Elnino mkoani haifiki mkuu.... Itawatwanga hukohuko Dar..ππΌββοΈππΌββοΈπππΌββοΈTafuta fundi mwingine arekebishe haraka kabla ya Elnino mwezi ujao
Sent using Jamii Forums mobile app
Stress zingeongezeka hapo sasa unacholinda ni mbaoPamoja mkuu bahati nzuri sipapiga bodi ndani , vinginevyo ningepata hasara kubwa sana.
Huu unabii umeanza lini mkuu nije unifanyie wepesi [emoji23]Elnino mkoani haifiki mkuu.... Itawatwanga hukohuko Dar..[emoji2300][emoji2300][emoji134][emoji2300]
Maungio mkuu