Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
hilo silo la muhimu ,,,hiyo ni privacy issueUpo chuo gani?
Sielewi sasa ,,topics zimeanza mpaka zimeisha sijawahi kuhudhuriasoma utafaulu
Mzazi unamuingiaje mpaka akuelewe urudie mwaka.Wasomi wa mwendokasi hawa. Ingekuwa enzi zetu solution ilikuwa rahisi na ya uhakika ..... unaomba kurudia mwaka. Hii ilikuwa inatusaisia ili kumaster masomo yako, sio kupata alama za juu tu ambapo mbeleni hazina faida yeyote
Toa ushauriUtavuna ulichokipanda
Okay....upo chuo sio? Hongera, UE yako ya ngapi hii?Jamani eeh ,,,nimepiga chabo semester nzima na nimehudhuria vipindi vichache sana na kusoma kwangu naona uvivu sana
Pepa zote nimefaulu kwa chabo kwa kuigilizia kwa wenzangu au kuingia na simu kwenye pepa ,,nikiona sipo comfortable zaidi naomba ruksa naenda kugoogle maswali chooni au kuangalia majibu kwenye slides za kwenye simu
Sasa jamani UE inakaribia halafu kupiga chabo ni vigumu kwa sababu wasimamizi wanakuwa wengi na msimamizi akikudaka unapiga chabo halafu akakupeleka ngazi ya juu anapewa laki 2 yake ,,,,,sasa hapa nilipo nawaza kila ninachokisoma sikielewi kwa sababu nimedoji vipindi vingi na mitihani ndo kama hivyo inakaribia
Je nifanye nini ili nifaulu???
Kuwa serious huna tofauti na mm enzi za chuo nilikuwaga na doji sana but pepa likikalibia natafuta chimbo na soma mwanzo mwisho hata kama topic siielewi nitajilazimisha hivyo hivyo na ninatafuta msaada kwa marafiki wanielekeze lakin kuingia na kizenga au kupiga chabo kwangu ilikuwa nooooooo. Mwisho wa siku nilifaulu vzr na kuhitimu vyema nakushauri achana na chabo wala sijui simu ukikamatwa huna chuo....pangilia mambo yako vzr weka kichwa chako vyema soma hata kama ni kwa zima moto at the end utafaulu vzr tuSielewi sasa ,,topics zimeanza mpaka zimeisha sijawahi kuhudhuria
Kila nachosoma naona maluweluwe tu.
poa mkuu, jaribu kusoma kwenye group discussion mpaka kieleweke na msuli binafsi usikuToa ushauri
sawa ,,toa ushauriNa mtu kama huyu unakuta yupo UDSM anagraduate na degree yake alafu anakuja kulia kitaa eti hakuna kazi.
Notedpoa mkuu, jaribu kusoma kwenye group discussion mpaka kieleweke na msuli binafsi usiku
atamvusha wakati hajasoma?Kilichobaki ni kumtegemea Mungu.
Amini katika yeye na atakuvusha Kwenye mtihani huo.
Vitu kama hivi hutakiwe kumshirikisha mzazi. yeye atakuja kufahamu baada ya maamuzi kufanyika na kutekelezwa. hapo hata akiuliza kulikoni unampa laivu wala hatakuwa na cha kusemaMzazi unamuingiaje mpaka akuelewe urudie mwaka.