Nimepiga chabo sana semester nzima kuelekea UE msaada tafadhari

Nimepiga chabo sana semester nzima kuelekea UE msaada tafadhari

Nimesikitishwa sana na ulichoandika. Anyway, hujatuambia ulikuwa unafanya shughuli gani wenzako wanapokuwa darasani? Ni vizuri tukajua ulikuwa unafanya shughuli gani wenzako wanapokuwa darasani ILI yamkini tukupongeze kwa manufaaa uliyoyapata nje ya darasa wakati wenzako wakiwa wanaendelea na masomo. Kama hakuna sababu za msingi (zenye mashiko) za wewe kutokuhudhuria darasani, mimi nitakuwa wa kwanza kufanya sherehe iwapo utapata DISCONTINUE REMARK kwani Taifa la Tanzania litakuwa limepunguza mtu mmoja katika ile List ya wanaohitimu chuo bila kuwa na elimu. Samahani kwa kuwa mkweli sana (Soma Jina langu)
 
Sijakuita lakini kwenye uzi wangu.

Uzi huu ni public mkuu, kwani hao walio post wote umewaita?

Usiposoma unafeli, ungekuwa mdada ungeweza kupata hata degree ya chupi, ila kwa mwanaume huna jinsi.
 
Kwani KUDOJI hakujakusaidia huko uliko kuwa unaenda!!

Usijali Ma Interview na ndoa watakusaidia chabo
 
Enzi zangu hzo hahahahaaaa endelea kupiga chabo usihanye 40 yako bado mkuu
 
Wakati wenzako wanakomaa ni vitabu....
3466da7719bfa65e8771e64c0d09a9dd.jpg

Wewe unakomaa na mademu....
0ee0478b024f6b5cff7d46ad00b5b0b4.jpg


Sasa isome namba pumbaaaafu!!
 
Jamani eeh ,,,nimepiga chabo semester nzima na nimehudhuria vipindi vichache sana na kusoma kwangu naona uvivu sana

Pepa zote nimefaulu kwa chabo kwa kuigilizia kwa wenzangu au kuingia na simu kwenye pepa ,,nikiona sipo comfortable zaidi naomba ruksa naenda kugoogle maswali chooni au kuangalia majibu kwenye slides za kwenye simu

Sasa jamani UE inakaribia halafu kupiga chabo ni vigumu kwa sababu wasimamizi wanakuwa wengi na msimamizi akikudaka unapiga chabo halafu akakupeleka ngazi ya juu anapewa laki 2 yake ,,,,,sasa hapa nilipo nawaza kila ninachokisoma sikielewi kwa sababu nimedoji vipindi vingi na mitihani ndo kama hivyo inakaribia


Je nifanye nini ili nifaulu???
Utakuja kuwa kama profesa yulee aliyeruhusu makinikia ziondoke na kutuachia kutuachia mashimo.
 
Back
Top Bottom