Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
- Thread starter
- #81
MamayoUngekuwa unajua hata mtihani unatakiwa kuwa ni upimaji binafsi usingekuja hapa kuomba ushauri wa kijinga huo, jinga sana wewe!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MamayoUngekuwa unajua hata mtihani unatakiwa kuwa ni upimaji binafsi usingekuja hapa kuomba ushauri wa kijinga huo, jinga sana wewe!!
si kategemea wana jf mmpe mawazo. cjawahi kuona watu wapuuzi km hawa yan mungu arudi atuchomeAfanye upumbavu kwa kutoudhuria vipindi kisha wamwambia amtegemee nani?
Private issuehilo silo la muhimu ,,,hiyo ni privacy issue
Mungu ana mambo mengi ya msingi kufanya ila sio hili..Kilichobaki ni kumtegemea Mungu.
Amini katika yeye na atakuvusha Kwenye mtihani huo.
Udsm hatupo ivyo weeeeNa mtu kama huyu unakuta yupo UDSM anagraduate na degree yake alafu anakuja kulia kitaa eti hakuna kazi.
Mungu hana muda wa kuvusha WajingaKilichobaki ni kumtegemea Mungu.
Amini katika yeye na atakuvusha Kwenye mtihani huo.
Wasomi wenye A za kwenye makaratasi kichwani ni FWasomi wa mwendokasi hawa. Ingekuwa enzi zetu solution ilikuwa rahisi na ya uhakika ..... unaomba kurudia mwaka. Hii ilikuwa inatusaisia ili kumaster masomo yako, sio kupata alama za juu tu ambapo mbeleni hazina faida yeyote
Hlf utatoka hapo ukaombe ajira?Sielewi sasa ,,topics zimeanza mpaka zimeisha sijawahi kuhudhuria
Kila nachosoma naona maluweluwe tu.
Pundo avinyu'Mamayo
unasomea taaluma gani mkuu ,tuanzie hapo kwanzaJamani eeh ,,,nimepiga chabo semester nzima na nimehudhuria vipindi vichache sana na kusoma kwangu naona uvivu sana
Pepa zote nimefaulu kwa chabo kwa kuigilizia kwa wenzangu au kuingia na simu kwenye pepa ,,nikiona sipo comfortable zaidi naomba ruksa naenda kugoogle maswali chooni au kuangalia majibu kwenye slides za kwenye simu
Sasa jamani UE inakaribia halafu kupiga chabo ni vigumu kwa sababu wasimamizi wanakuwa wengi na msimamizi akikudaka unapiga chabo halafu akakupeleka ngazi ya juu anapewa laki 2 yake ,,,,,sasa hapa nilipo nawaza kila ninachokisoma sikielewi kwa sababu nimedoji vipindi vingi na mitihani ndo kama hivyo inakaribia
Je nifanye nini ili nifaulu???
Wengi wao huwa ni in service mkuuHlf utatoka hapo ukaombe ajira?
tega nikukojoleeHaya kakojoe ukalale
Inasikitisha sana...
Mkitoka hapo interview zinawashinda mnaanza kulalamika kazi zinatolewa kwa upendeleo...
Kufa kufaana... Endelea kupiga chabo uwafae wenzako usawa huu...
Cc: mahondaw