Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Hahahaha huenda labdaHuyo huyo ila ID mpya angalia hata andikaji yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha huenda labdaHuyo huyo ila ID mpya angalia hata andikaji yake
Wewe dogo kipi hapo sijakielewa basi nakushauri usifanye mitihani uwe disqualified pumbavu zakosoma uelewe kabla hujakomenti
Kilichobaki ni kumtegemea Mungu.
Amini katika yeye na atakuvusha Kwenye mtihani huo.
Enzi hizo ukoo mzima hakuna mwenye degree, wala mzazi alikua hajui nini kinaendelea chuoMzazi unamuingiaje mpaka akuelewe urudie mwaka.
Hahahahahah mbona nmekshauri vizuri tuu sema unapenda vitu laini ndo mana umeona ushauri wangu Ni matusi.Nimekuita kilaza bada ya kuona unajitambua Na unajua nini cha kufanya lkn bado unaomba ushauri.Nimeomba ushauri,,sijaomba kutukanwa
Jiandae tu kuja mtaani tuisome namba wote kwa pamojaJamani eeh ,,,nimepiga chabo semester nzima na nimehudhuria vipindi vichache sana na kusoma kwangu naona uvivu sana
Pepa zote nimefaulu kwa chabo kwa kuigilizia kwa wenzangu au kuingia na simu kwenye pepa ,,nikiona sipo comfortable zaidi naomba ruksa naenda kugoogle maswali chooni au kuangalia majibu kwenye slides za kwenye simu
Sasa jamani UE inakaribia halafu kupiga chabo ni vigumu kwa sababu wasimamizi wanakuwa wengi na msimamizi akikudaka unapiga chabo halafu akakupeleka ngazi ya juu anapewa laki 2 yake ,,,,,sasa hapa nilipo nawaza kila ninachokisoma sikielewi kwa sababu nimedoji vipindi vingi na mitihani ndo kama hivyo inakaribia
Je nifanye nini ili nifaulu???
hata mimi kusaidia ni privacy issue. hili sio la muhimuhilo silo la muhimu ,,,hiyo ni privacy issue
Imefanyaje?hyo avatar yako kwanza duuu
Haya kakojoe ukalalehata mimi kusaidia ni privacy issue. hili sio la muhimu
Itakua Zayoni mkuuUpo chuo gani?
Ungekuwa unajua hata mtihani unatakiwa kuwa ni upimaji binafsi usingekuja hapa kuomba ushauri wa kijinga huo, jinga sana wewe!!hilo silo la muhimu ,,,hiyo ni privacy issue