Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona umemsoma mkuu hizi multiple id bana.VITUKO VYA HR 666 ENZI ZILEEEE NAONA VINAJIRUDIA....
Subiria kuwa Mkuu wa mkoa!!!Jamani eeh ,,,nimepiga chabo semester nzima na nimehudhuria vipindi vichache sana na kusoma kwangu naona uvivu sana
Pepa zote nimefaulu kwa chabo kwa kuigilizia kwa wenzangu au kuingia na simu kwenye pepa ,,nikiona sipo comfortable zaidi naomba ruksa naenda kugoogle maswali chooni au kuangalia majibu kwenye slides za kwenye simu
Sasa jamani UE inakaribia halafu kupiga chabo ni vigumu kwa sababu wasimamizi wanakuwa wengi na msimamizi akikudaka unapiga chabo halafu akakupeleka ngazi ya juu anapewa laki 2 yake ,,,,,sasa hapa nilipo nawaza kila ninachokisoma sikielewi kwa sababu nimedoji vipindi vingi na mitihani ndo kama hivyo inakaribia
Je nifanye nini ili nifaulu???
anatuchora tuNaona umemsoma mkuu hizi multiple id bana.
Unataka mwenzio aje kukufuru siku za usoni.Kilichobaki ni kumtegemea Mungu.
Amini katika yeye na atakuvusha Kwenye mtihani huo.
Huna namna tafuta daktari utakae mueleza akakuelewa shida yako, omba akuandikie medical report ambayo itakuonyesha una tataizo la kiafya then utawala wa chuo wakipokea hiyo ripot watakuruhusu postponed UE uje fanya baadae vyuo vingi wana huu utaratibu wakutoa nafasi kwa wale walio shindwa kufanya paper na wenzao, hii itakusaidia ili uwe na muda wakujiandaa ufanye pepa peke yako kwa muda mwingine utakao pangiwa,Jamani eeh ,,,nimepiga chabo semester nzima na nimehudhuria vipindi vichache sana na kusoma kwangu naona uvivu sana
Pepa zote nimefaulu kwa chabo kwa kuigilizia kwa wenzangu au kuingia na simu kwenye pepa ,,nikiona sipo comfortable zaidi naomba ruksa naenda kugoogle maswali chooni au kuangalia majibu kwenye slides za kwenye simu
Sasa jamani UE inakaribia halafu kupiga chabo ni vigumu kwa sababu wasimamizi wanakuwa wengi na msimamizi akikudaka unapiga chabo halafu akakupeleka ngazi ya juu anapewa laki 2 yake ,,,,,sasa hapa nilipo nawaza kila ninachokisoma sikielewi kwa sababu nimedoji vipindi vingi na mitihani ndo kama hivyo inakaribia
Je nifanye nini ili nifaulu???
Maandiko yanasema, jitegeme pia Mungu atakusaidia, sasa hujasoma unategemeaje maujiza,Kilichobaki ni kumtegemea Mungu.
Amini katika yeye na atakuvusha Kwenye mtihani huo.