Mzalendo_Mkweli
JF-Expert Member
- Jan 30, 2012
- 2,025
- 1,270
Nimesikitishwa sana na ulichoandika. Anyway, hujatuambia ulikuwa unafanya shughuli gani wenzako wanapokuwa darasani? Ni vizuri tukajua ulikuwa unafanya shughuli gani wenzako wanapokuwa darasani ILI yamkini tukupongeze kwa manufaaa uliyoyapata nje ya darasa wakati wenzako wakiwa wanaendelea na masomo. Kama hakuna sababu za msingi (zenye mashiko) za wewe kutokuhudhuria darasani, mimi nitakuwa wa kwanza kufanya sherehe iwapo utapata DISCONTINUE REMARK kwani Taifa la Tanzania litakuwa limepunguza mtu mmoja katika ile List ya wanaohitimu chuo bila kuwa na elimu. Samahani kwa kuwa mkweli sana (Soma Jina langu)