matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Nilitegemea nikute vitabu Vingi vya Imani, kukwida na kufurusha mapepo cha ajabu karibu vyote vinahusu ndoa na migogoro.
Wajumbe mtulie katika mahusiano mnawatoa mitume na wachungaji kwenye fokasi, wanaacha kujifua mambo ya maana ya kwenda mbinguni wanaishia Kutafuta namna ya kutatua migogoro ya ndoa.
Yaani nimegundua tatizo la mapepo ni dogo kuliko tatizo la ndoa makanisani.
Mungu aingilie kati wajumbe.