matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Ndoa ni kitu kizuri Sana, na ni tamu Sana ukiipatia wakati wa kuingia mkataba.Kataa ndoa ewe kijana, ndoa ni utumwa.
Hakuna kitu Bora Duniani kama ndoa. Kuna sehemu vijana mnafeliNdoa ni utapeli
Kataa Ndoa
Hakuna kitu muhimu duniani kama PesaHakuna kitu Bora Duniani kama ndoa. Kuna sehemu vijana mnafeli
Wee,sema kweli?Ndoa ni kitu kizuri Sana, na ni tamu Sana ukiipatia wakati wa kuingia mkataba.
Wengi wanaibgia katika ndoa na failure mentality kama hizi
HahahahaHakuna kitu muhimu duniani kama Pesa
Ndoa ni Wizi
Nimecheka ππkukwida na kufurusha mapepo
Hahaha. Tena wanawake ndio Huwa vihererehe kuwahi Kwa Pr ili wampange mapema. Ndio maana Huwa wanatuharibia watumishi Kwa kuwatolea upako.Nimecheka ππ
Ni mradi toshelevu kabisa, halafu
vyanzo halisi vya migogoro yetu huwa hatuvisemi ila tunasema yale yanayosikika vizuri masikioni pa watu.
Vijana wahuni hao. Hao ndio wanasababisha watumishi wapige madesa ya ndoa Zaidi ya Imani. Mtu anaingia kwenye ndoa na mentality za kuachika huyo unadhani anadumu hata mwaka ?Mnaokataa ndoa hakikisheni kwanza ninyi hamjapatikana ndani ya ndoa
Unapata kitu gani ambacho mimi sipati ambae sina ndoa , kama ww ni mwanamke kwnye ndoa kuna kitu utakuja pata ila kwa mwanaume mwenye utimamu ndoa haina maana kwakoNdoa ni kitu kizuri Sana, na ni tamu Sana ukiipatia wakati wa kuingia mkataba.
Wengi wanaibgia katika ndoa na failure mentality kama hizi