Hela ndogo hivyo akaacha kazi?Hongera sana. Kuwa makini wekeza. Wakati naishi mivumoni, jirani yangu alikula milion kama 10 sportpesa na baada ya mwezi akala tena milion 29. Hii pesa ilimchanganya akaendelea kubet na kazi akaacha.
Leo kapigika kinoma noma aisee