Nimepiga marufuku safari zote za mke wangu msimu huu wa sikukuu

Nani alikualika humu ?,taasisi ipi ilikupangia uje ufanye kupoteza muda humu,? Nani alikuahidi malipo uache kazi zako uje kusoma hivyo unavyoona va kutunga kupata attention..? We soma tembea na mia hujuani na yeyote humu,meza ulichobugia mzee
 
Uhuru gani anataka,kama ni uhuru si amwombe mumewe waende vacation wote,sio atoke na watoto tu,nyie wanawake amdhaminiki....
 
Uko sahihi sana mkuuuuuuuuu safi sanaaa...sa skia unajua kuna kitu kinaitwa power of intution eeh? Msimamo ni huo huo hakuna kwenda sehemu bila ruhsa yako.
 
Upo sawa kabisa! kuna sintofaham hapo na ukiunganisha na tukio la laini na hii forcing ya safari inaleta shaka.

Ila vipi Mama J ulimlipa pesa yake ile aliemea siku ile akawa anakudai?
 
Duh umri wako mana unafanya vitu vya kitoto kabisa Mambo ya ndoa yanaongelewa chumbani yakishindikana chumbani kuna washenga na wazee waliokula chumvi sio kuleta kwenye mitandao
 
Your level of WISDOM is unmatchable...hongera sana mkuu...
stori za huyu jamaa ni picha kamili ya maisha ya vijana walio wengi kwenye jamii zetu, wanaofikiri kitoto mno kwenye mambo ya ndoa.....kiufupi accumulation ya vijimambo vya kipuuzi kama hivi huleta balaa zito, mnaweza kuuana kwa kuhisi mwenza wako anachepuka, kumbe si kweli, n wewe na visirani vyako tu vya kijinga...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…