Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Yaan umekuwa na wasiwasi ila napenda story zako unasimulia vizuri mnoManeno gani Sasa Ayo[emoji848]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaan umekuwa na wasiwasi ila napenda story zako unasimulia vizuri mnoManeno gani Sasa Ayo[emoji848]
Yaan apa mkuu umeongea ukweli mtupu kabisa utadhan uko kichwani na moyoni mwangu,kiukweli Hii kitu inanivuruga mno[emoji29]Ngoja nikwambie kinachokuumiza mkulu
Kwanza comment za wadau wanakuchochea hatari, hamna kitu mbaya amefanya bibie wako ni dhana tu unaweka.
KIngine kinachokutesa zaidi ni hiki.
Hujawahi kudhani wala kuhisi utajikuta kwenye situation kama hii kwasababu uliamini na ulijiaminisha kwa asilimia 200 mkeo hawezi thubutu wala kukaribia wala kufikiria hicho unachokidhani kwa sasa.
Kwa hiyo ile imani yako ndio inakuumiza, japo ni nadharia ila hicho ndio kinakutesa zaidi.
Mama j akifanya hayo huwezi shangaa sana wala kupata mshtuko mkubwa sanaa kwasababu unamjua na imani yako kwake sio kubwa sanaa ila kwa yule unaeamini hawezi kufanya kitu fulani ukasikia amefanya au ukahisi ndio hicho kinakutesa ndugu yetu[emoji23]
Pole sana
Tuliza moyo
Wacha mama yoyo aende kwa mama kubwa
.
Mama j akifanya hayo huwezi shangaa sana wala kupata mshtuko mkubwa sanaa kwasababu unamjua na imani yako kwake sio kubwa sanaa ila kwa yule unaeamini hawezi kufanya kitu fulani ukasikia amefanya au ukahisi ndio hicho kinakutesa ndugu yetu[emoji23]
Pole sana
Tuliza moyo
Wacha mama yoyo aende kwa mama kubwa
Yaan Wee ndo unaharibu kabisa,Sawa,acha mawazo mabaya mkuu,hata asipoenda kwa huyo unayemuhisi wa hiyo line!Wanaweza kufanya mchongo mwingine wa huyo njemba tana kuja kufanya Yao hapohapo kwako.Ruhusu tuu aende mengine,mwachie Mungu.
[emoji28] [emoji28] [emoji28]Ha ha ha....HAMAS Tena[emoji28]
Kweli kabisa,huu mtihani nnaopitia ndo nmejua kias uwa nampenda sana wife[emoji29]Hivi kwanini unaempenda akizingua moyo unaumaa sana, ni anakua akiuchokonoa ama maana moyo unakua kama unataka kutoka hivi, hii mambo ya kupendana inakua ni kama umeficha mtu moyoni kama msukule, mpende kwa kiasi wapendwa wa bwana
[emoji1787] na wakati ubaya kaanza mwenyewe atulie dawa iingie hata akimzuia safari haisadii kituCha wivu
[emoji1787] na wakati ubaya kaanza mwenyewe atulie dawa iingie hata akimzuia safari haisadii kitu