Nimepiga marufuku safari zote za mke wangu msimu huu wa sikukuu

Nimepiga marufuku safari zote za mke wangu msimu huu wa sikukuu

Kama moyo wako unahisi kabisa mkeo anaku-cheat basi jitihada zako kuepusha hilo hazitofua dafu... Unapoteza muda wako tu kumchunga maana hadi sasa kwanza kashakujua weakness yako kwahiyo hata kama hakuwa na lengo hilo basi ni kama umempa wazo sasa.
Ke kama Ni malaya, Ni Malaya TU
Hamna excuse yoyote inayohalalisha MKE kucheat eti kisa tayar nmeshamshuku, nmemchochea
 
Kitandani hapalaliki,
Kichwa kikazid kupata Moto,
"Usikute ana mtu wake uko mkoani keshamseti, alifufua laini yake kusudi wawasiliane kwamba anakuja uko, njemba ijiandae kumshughulikia ?[emoji848]"
Nikaona ebu nilale kwanza ntulize kichwa,

haya nnayowaza Ni mawazo ya wazimu kabisa,ntachanganyikiwa Sasa, kukishakucha ndo ntajua Nini sahii Cha kuamua,Hapa nakurupuka tu. Kiukweli nikajilazimisha sana mpk nikalala usngz.

Sasa Kumekucha Nmeamka alfajiri kuoga nijiandae kwenda dukani, nastuka MKE wangu hayupo kitandani na tayr keshapakia nguo zake Kwny mabegi na nayaona yamesimamishwa pembeni.

Ikanibd kumuita kwa saut, naskia anaitikia uko vyumba vya watoto. Ikanibd kumfata uko, nmefka namkuta anawavalisha watoto nguo, wengine wanajipaka mafuta.

Nkamuuliza vipi, unawavalisha watoto, unawapeleka wapi na alfajir yote Hii. Akasema "ile safar ya ma mkubw, nataka nifike mapema leo mme wangu?" Nkamuulza nauli umepata wapi, Akasema anayo akiba ya pesa za maziwa na maji alizitunza, nisipate shida kumpa nauli".

Nikamwambia "usikaidi maagizo yangu, nishasema utaenda kesho asbh,nmemaliza, usinijaribu" Kisha nikaondoka zangu kujiandaa ili kwenda zangu dukani.
Jamaa bwana. You are so weak bro.
 
Ke kama Ni malaya, Ni Malaya TU
Hamna excuse yoyote inayohalalisha MKE kucheat eti kisa tayar nmeshamshuku, nmemchochea
Rejea kanununi ya binadamu mzee... Pindi unapojaribu kumzuia asifanye jambo fulani basi yeye huanza taratibu za kulifanya jambo hilo.... Ndo maana imekuwa ngumu binadamu kuishinda dhambi maana ni ni mambo ambayo tunahaswa kutokuyafanya.

Hata mwanao ukimuambia "Hichi usiguse" hatakama hakuwa akikigusa mwanzo basi kuanzia pale atakuwa anakigusa hata kwa kificho.
 
mke hachungwi kaka angu,wanawake wana akili chafu atasema kwa vile ananihisi hivi ngoja nifanye kweli hata na hous boy wetu.mluhusu aende utagundua tu fanya uchunguzi wa kimya kimya utagundua tu,kuto mruhusu hayo ni madhaifu ndugu
 
Mkuu toa mifano hai,
Unamtoleaje mfano Mtoto mdg,
Wakati unajua case inamhusu mtu mzima?

Nnachoamini Mimi, hamna excuse yyt kuhalalisha cheating kwa MKE wa mtu.

Nikibaini ananicheat, Moja kwa Moja ntamtia kwenye list ya wanawake Malaya, na ntajua kabisa hapa nilioa mke Malaya.
 
mke hachungwi kaka angu,wanawake wana akili chafu atasema kwa vile ananihisi hivi ngoja nifanye kweli hata na hous boy wetu.mluhusu aende utagundua tu fanya uchunguzi wa kimya kimya utagundua tu,kuto mruhusu hayo ni madhaifu ndugu
Kiukweli mkuu sahv siwez kumruhusu aende kokote,labda baada ya hizi sikukuu.

Kwasasa Najioana kabisa akili yangu haijajiandaa bado kukabiliana na stress fumanizi la mke wangu akiliwa mzigo na njemba.

Msitake niforce Moyo wangu afu baadae mskie nmeua mtu mje kuninanga humu "Sina akili"
 
Usikute mama mkubwa ndio anaunganisha mahusiano na mshikaji mwizi wetu huko. Nasema hivyo kwa mifano hai.

Nilikuwa na demu dogo toka anasoma. Kwa sababu alikuwa anatumia simu ya dada yake kuwasiliana na mimi, tukajikuta tumefahamiana na nikawa namtumia vocha ikibidi. Wakati mwingine nikitaka kumchakata mdogo wake namwomba dada mtu yeye ndio anafanya mipango yote mpaka kufungua geti usiku.

Kufupisha yule dogo alipata bwana maana mimi nilizingua nikasema siwezi kuoa wanawake wawili.
Sasa maajabu yule dogo niliendelea kumchakata kama kawaida kupitia dada yake.

Nikimtaka nawasiliana na dada yake, then anampanga kwamba aje kusalimia kwao. Akifika tu napigiwa simu kwamba zigo langu lishafika nikajibebee.
Baadaye nikaamua kuacha hiyo tabia kwa vile nilikuwa najaribu kuvaa uhusika wa mshikaji wake nikaona inaumiza sana.

Hivi ninavyozungumza yupo kwao hapo kaja kusalimia anataka tuonane baadaye nikawa sipokei simu.
Bonge la uzi Umelinyima haki zake!! Mkuu
 
Kiukweli mkuu sahv siwez kumruhusu aende kokote,labda baada ya hizi sikukuu.

Kwasasa Najioana kabisa akili yangu haijajiandaa bado kukabiliana na stress fumanizi la mke wangu akiliwa mzigo na njemba.

Msitake niforce Moyo wangu afu baadae mskie nmeua mtu mje kuninanga humu "Sina akili"
Mkuu inaonyeshea ata umfuanie mkeo analiwa live huna ujasiri wakumuacha
 
mimi nimeipenda hiyo namba 6 embu nipe mbinu nimnyooshe mtoto wa mama mkwe
Ushauri
1. Mpe nauli mwambie ulikuwa unamzingua kupima imani yake. Na mwambie amefaulu kwa sababu amekuheshimu na kukusikiliza. Mwambie unamuamini na huwezi kumfikiria vitu vya kipuuzi kwani yeye ni mke bora.

2. Usimfuatilie kipindi hiki ambacho tayari umeonyesha ku-suspect kuwa huenda anaku-cheat.

3. Kama hauna ushahidi wa moja kwa moja usipende kumshutumu mkeo au kumuuliza maswali yanayoonyesha humuamini. Huko ni kujishushia heshima kama mwanaume. Na unamfanya akuonee hujiamini na unanipenda kupitiliza. Hilo ni kosa ambalo wengi wanafanyakwenye mahusiano na ndoa.

4. Fanya uchunguzi mkeo akiwa huru. Hivyo muachie uhuru kifanye kama unamuamini.
Ni kosa kubwa kumchunguza mtu ambaye tayari anajua humuamini. Kwa sisi majasusi tunà- Cancel upelelezi.

5. Mkeo anaweza kugongwa kirahisi ikiwa utakuwa mtu wamihemko.

6. Mkeo akiwa mjanja atatumia udhaifu wako kukutesa na kukutia stress za mapenzi hata kama ha-cheat anaweza kukuchezea dramaili uumie tuu moyo wako.

7. Tayari ulisham-cheat na anajua hivyo anaweza kutumia hiyo kama kulipa kisasi hasa akigundua kuwa kumbe hata wewe unaumia.

8. Mkeo atajihakikishia kuwa kumbe huna uwezo wa kujua yeye aki-cheat ndio maana unatapatapa. Unatakiwa ukishakuwa na uhakika ndo unazungumza na mkeo kuwa habari zake zote unazo. Na mwambie kuwa hakuna chochote atafanya usijue. Muda huo unadata na ushahidi wote.
Sio mihemko yako ndio utumie kuendesha hayo Masuala.

Hiyo itamfanya akuweke kwenye comfort zone Wakati huna wasiwasi yeye ndio ataku-cheat.

Mimi ni hayo tuu
 
Back
Top Bottom