Nimepiga marufuku safari zote za mke wangu msimu huu wa sikukuu

Alfajr ya leo kumekucha naamshwa na mke wangu, Anaomba nimpatie nauli, MDA wa Safari yake ndo huu. Nikamjibu "Nmeshaghaili, safar yako haipo Tena"

Akauliza tatizo Nini, mbona Jana tushakubaliana alfajir leo naondoka?. Nikamjibu, "Nmeshaghaili sasa, hakuna Safari yoyote ile, na sitaki unihoji maswali yoyote yale" akasema "sawa,ila unachofanya sio halali mme wangu" .Sikumjibu, nikaamka nikaoga, nikavaa na Kwenda zangu kazini

Nmefika kazini salama, nmejaribu kufanya Kazi ila haziend vizur. Kila nikijaribu kuliwazia tukio la Juzi la laini mpya, Kisha Hii presha ya wife kulazimisha hii Safari, kiukweli Moyo wangu umekua mzito Sana kumruhusu mke wangu asafiri.

Pengine sijajua kama nakosea au vipi,
Ila nmedhamiria kabisa MKE wangu hatosafiri kwenda popote pale msimu huu wote wa sikukuu.

Nawasilisha wakuu
emoji1431.png
Great great. Bro hapo nakupa saluti za heshima Sana. Kwanza kwa kutibua Safari ambayo ilipangwa mapema bila wewe kushirikishwa, Kama alikupa Taarifa usiku wa tar 15.12. hii Ina maana alishakata tiketi mchana wake au asubuhi na baadaye ndo yakatokea yake Mambo ya wrong number. Naamini alikua anakupa Taarifa na Wala si kukuomba ruhusa. Tayari alishajipanga kwa Safari na hakua anategemea nauli kutoka kwako.

Lakini Jambo la pili nakupongeza kwa kuhisi something fishy, hapa mwenyewe nahi
 
Jambo la pili Ni kwanini analazimisha Sana Safari, yaani anaipambania Kama anaenda kwenye interview. Si Safari salama. Good Sana kwa kuipiga stop.

Jambo lingine, Safari imekolea zaidi baada ya laini mwisho 900 kukupigia na imetoka kwa wife na si namba yake ya siku zote. Baada ya kumtilia mashaka akajitete utetezi ambao mahakama yako imeutupilia mbali kutokana na kwamba Ni ushahidi ambao umekosa viambatanisho. Hata Mimi ningezuia Safari na mitoko yote isiyo ya muhimu
 
Unakosea sana kijana hapo mwanamke una muua Saikorojia yake yaani uyo mkeo anaenda kupunguza intimacy level juu yako

hata penzi atakupa kama baba au gaidi mbakaji na mean time huwez mzuia mwanamke ku date na mchepuko kwasab mchepuko by hu mda ndio huwa wana enjoy sana kwasb ndio comfortzone yake ilipo

wew mwanamke ina bidi una mcomand lakn mpe space yani una kosea Alpha male hawi hivo uki kaa vibaya unaweza lea watoto sio wako

mwanamke unapo mkera nirahis sana kuku cheat huyo kijana wa ng’ombe anaweza mpa nae au majiran wew si uko kazin kijana?

mwanamke ili akuheshimu lazma agundue kua unajiamin na yeye unamuamin hapo mnaenda sana

acha kumbana mwanamke and kama kosa ulisha solve unalileta mezan tena thats red flag kwa mwanamke

kama una nia ya kufanya uchunguzi izo signs unamuonesha huwez fanikisha kabsa kwasb 24hrs unawaza iko iko sehemu ya kuwekeza akili wew unaweka moyo huwez ona majibu sahihi Change your plan bro

Huo ni ukweli wanawake wengi wanaolewa kwasab ya kutimiza ndoto tu ya kua na mume lkn wengine Ex wao waliachana kwa aman means penzi lao lipo hai kwaio huwez zuia wao kuendelea

wanaume wenye wivu au kuwachunguza sana wanawake mahusiano yao huvunjika kaka badirika ukiendelea ndoa yako inaenda kua chungu sana

Rudia kusoma hii com
Well said mkuu naunga mkono hoja.
 
Jambo la pili Ni kwanini analazimisha Sana Safari, yaani anaipambania Kama anaenda kwenye interview. Si Safari salama. Good Sana kwa kuipiga stop.

Jambo lingine, Safari imekolea zaidi baada ya laini mwisho 900 kukupigia na imetoka kwa wife na si namba yake ya siku zote. Baada ya kumtilia mashaka akajitete utetezi ambao mahakama yako imeutupilia mbali kutokana na kwamba Ni ushahidi ambao umekosa viambatanisho. Hata Mimi ningezuia Safari na mitoko yote isiyo ya muhimu
Lkn kama alikua ana mpango mungine huwez zuia mwanamke mpe uhuru

kwasabu unazid kumkera hivi unaweza mlinda mtu mzima?

Sometimes mtumie akili hisia na wivu wa kugongewa sijui mapenzi yanauma mwanaume inabid ukaze

Hio sio sawa ,ukitumia hisia ndoa inavunjika mwanaume ili uwe na mvuto kwa mkeo lazma utumie akili .

akili ndio itafanya bibie ajisikie sawa hata unavo mkomandi vinginevyo ataona kama una mnyanyasa.
 
Alfajr ya leo kumekucha naamshwa na mke wangu, Anaomba nimpatie nauli, MDA wa Safari yake ndo huu. Nikamjibu "Nmeshaghaili, safar yako haipo Tena"

Akauliza tatizo Nini, mbona Jana tushakubaliana alfajir leo naondoka?. Nikamjibu, "Nmeshaghaili sasa, hakuna Safari yoyote ile, na sitaki unihoji maswali yoyote yale" akasema "sawa,ila unachofanya sio halali mme wangu" .Sikumjibu, nikaamka nikaoga, nikavaa na Kwenda zangu kazini

Nmefika kazini salama, nmejaribu kufanya Kazi ila haziend vizur. Kila nikijaribu kuliwazia tukio la Juzi la laini mpya, Kisha Hii presha ya wife kulazimisha hii Safari, kiukweli Moyo wangu umekua mzito Sana kumruhusu mke wangu asafiri.

Pengine sijajua kama nakosea au vipi,
Ila nmedhamiria kabisa MKE wangu hatosafiri kwenda popote pale msimu huu wote wa sikukuu.

Nawasilisha wakuu[emoji1431]
Uko vizuri, pambania, usituangushe. Kuna picha inachezwa.
 
Wasiwasi ndio akili wanasema,kwakua ni nafsi moja we nayeye hivyo taarifa mbaya ikikuletea mpasuko moyoni jua ndio jambo lililopo,tumia uanaume kulitatua
 
Kuna watu wanachukulia simple vitu Kama hivi, aisee inaumaje unamruhusu mkeo na akili yako tayar ishakwambia uko anakoenda ataenda kuliwa?[emoji848]

Ni Mara akaliwe nisijue, sio nimruhusu kabisa akaliwe[emoji29]
mkuu utakuja kupigiwa vibaya sanaa na nimeona kuna mdau katoa maoni mazuri wew unaangalia makosa ya mke wako tu yakwako husemi na mwingine kakushauri kwamb mruhusu mkeo aende huku unaendelea kufanya uchunguzi taratibu ila uendelee kumchunguza lakin mkubwa wetu hukielewi hiki na kwambia utakuja kupigiwa vibaya sanaa kama unavyovihisi ni vya kwel😢😢😢
 
Madhara ya kuoa haraka mm nilimuona bado mtoto alipo sehema alifunga duka akaenda kuongea na mkee kuhusu laini? kweli?🤣🤣😂😂🤣💔
 
Alfajr ya leo kumekucha naamshwa na mke wangu, Anaomba nimpatie nauli, MDA wa Safari yake ndo huu. Nikamjibu "Nmeshaghaili, safar yako haipo Tena"

Akauliza tatizo Nini, mbona Jana tushakubaliana alfajir leo naondoka?. Nikamjibu, "Nmeshaghaili sasa, hakuna Safari yoyote ile, na sitaki unihoji maswali yoyote yale" akasema "sawa,ila unachofanya sio halali mme wangu" .Sikumjibu, nikaamka nikaoga, nikavaa na Kwenda zangu kazini

Nmefika kazini salama, nmejaribu kufanya Kazi ila haziend vizur. Kila nikijaribu kuliwazia tukio la Juzi la laini mpya, Kisha Hii presha ya wife kulazimisha hii Safari, kiukweli Moyo wangu umekua mzito Sana kumruhusu mke wangu asafiri.

Pengine sijajua kama nakosea au vipi,
Ila nmedhamiria kabisa MKE wangu hatosafiri kwenda popote pale msimu huu wote wa sikukuu.

Nawasilisha wakuu[emoji1431]
Upo sahihi mkuu
 
Back
Top Bottom