Cheguevara Jr
Senior Member
- Feb 20, 2014
- 134
- 128
Mimi ni kijana wa miaka 32,nina mke,Tatizo nililonalo nashindwa kuacha haka kamchezo kwan hata nikilala na mke wangu hua haitoshi,kila siku lazima nipige mara mbili yaan asubuhi pia na mda wa kulala,je nifanyaje ili niache mchezo huu???????
Safi mkuu,makavu live,utoto unamsumbua...give us a break dude!!!!!!!!!!
umetulilia hapa kwamba chululu yako ndogo unataka dawa uikuze tumekushauri, sasa umekuja na ishu za puli haya ngoja nikuulize swalin wewe tatizo lako ni nini hasa?/
je huna nguvu za kiume, una uume mdogo ama unapenda kupiga puli??
af acha kudhalilisha watu wa miaka 32 yaan at that age bado maturity kwako ni ndogo kiasi hiko??
Kwa kitendo cha wewe kupiga Punyeto muda wa miaka 15 utakuw aumeathirika kwenye ubongo wako kaikili hauko sawa wewe ingawa unajiona upo fit. Hata huyo Mke wako huwezi kumrithisha kimapenzi i mean huwezi mke wako kumfikishakileleni kabisa utakuwa ukipiga goli moja huwezi tena kurudia tena mpira ukiwa upo uwanjani pole sana ndugu. Itabidi uendeHospitali kuu ya rufaa Muhimbili ukawaone Ma-Daktari wa Saikolojia (Clinical Psychology) wakupe ushauri wa mawazo ya kuacha kupiga hiyo Punyeto.Mimi ni kijana wa miaka 32,nina mke,Tatizo nililonalo nashindwa kuacha haka kamchezo kwan hata nikilala na mke wangu hua haitoshi,kila siku lazima nipige mara mbili yaan asubuhi pia na mda wa kulala,je nifanyaje ili niache mchezo huu???????
Toa Sababu zako Muhimu kwanini humtaki aliyeweka hii Thread?Moderator mpo wapi .. ! hawa watu hatuwahitaji umu. !!!