Nimepiga nyeto kwa mda wa miaka 15

Nimepiga nyeto kwa mda wa miaka 15

Cheguevara Jr

Senior Member
Joined
Feb 20, 2014
Posts
134
Reaction score
128
Mimi ni kijana wa miaka 32,nina mke,Tatizo nililonalo nashindwa kuacha haka kamchezo kwan hata nikilala na mke wangu hua haitoshi,kila siku lazima nipige mara mbili yaan asubuhi pia na mda wa kulala,je nifanyaje ili niache mchezo huu???????
 
Kwanini unataka kuacha? Wewe endelea tu kujipa raha.
 
nani alikukwambia uoe mke mbaya kuliko unayemvutia hisia kwenye nyeto .tayari ulishakuwa addicted na feeling za juu max orgasm za nyeto.mwambie mke wako hako kamchezo ndio anaweza kukusaidi
 
Aisee!!huo mgegedo haujaota magamba kama kenge kwa michubuko ya sabuni?
Unahitaji Psychologist mkuu
 
unajikadiria saiz gan.
leo ibane, kesho iwe kubwa, we acha 2.
onyo: upigaji wa nyeto ukipitiliza n hatari kwa ndoa yako
 
give us a break dude!!!!!!!!!!

umetulilia hapa kwamba chululu yako ndogo unataka dawa uikuze tumekushauri, sasa umekuja na ishu za puli haya ngoja nikuulize swalin wewe tatizo lako ni nini hasa?/
je huna nguvu za kiume, una uume mdogo ama unapenda kupiga puli??

af acha kudhalilisha watu wa miaka 32 yaan at that age bado maturity kwako ni ndogo kiasi hiko??
 
Safi mkuu,makavu live,utoto unamsumbua...
 
Mimi ni kijana wa miaka 32,nina mke,Tatizo nililonalo nashindwa kuacha haka kamchezo kwan hata nikilala na mke wangu hua haitoshi,kila siku lazima nipige mara mbili yaan asubuhi pia na mda wa kulala,je nifanyaje ili niache mchezo huu???????
Kwa kitendo cha wewe kupiga Punyeto muda wa miaka 15 utakuw aumeathirika kwenye ubongo wako kaikili hauko sawa wewe ingawa unajiona upo fit. Hata huyo Mke wako huwezi kumrithisha kimapenzi i mean huwezi mke wako kumfikishakileleni kabisa utakuwa ukipiga goli moja huwezi tena kurudia tena mpira ukiwa upo uwanjani pole sana ndugu. Itabidi uendeHospitali kuu ya rufaa Muhimbili ukawaone Ma-Daktari wa Saikolojia (Clinical Psychology) wakupe ushauri wa mawazo ya kuacha kupiga hiyo Punyeto.

Moderator mpo wapi .. ! hawa watu hatuwahitaji umu. !!!
Toa Sababu zako Muhimu kwanini humtaki aliyeweka hii Thread?
 
mtaipa majina mengi tu mara chululu mara gegedo,,, badilisha mke ndugu yangu vinginevyo utaendelea kupiga mpaka ufe, mke wako inaonekana hakuvutii, maana ungekuwa unamgegeda bdala ya kujichua
 
Back
Top Bottom