Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
Aisee hii nchi sijui inaongozwa Kwa akili Gani yaani nimepiga simu nikaambiwa kitambulisho cha nida kimetoka ila mijitu haijatuma sms tunaenda kufuata vitambulisho vyetu tunaambiwa mpaka sms wakati Mimi ndio muhusika wa hicho kitambulisho na sura yangu inaonekana sio kwamba sionekani sura na muda huo sms hayajatuma aisee Tanzania ni nchi ambayo imelaanika akili Gani hii ya haya majitu yanataka niame ndio yaniite kuchukua kitambulisho au yafungie namba