Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
Yaani sijui yanaakili Gani aiseeHao NIDA wanajikutaga matawi ya juu
Arusha nilijibiwa hivihivi kwamba nisubiri SMS tena wakanipa na tarehe ya mwisho lakini hamna sms niliyotumiwa.Aisee hii nchi sijui inaongozwa Kwa akili Gani yaani kitambulisho cha nida kimetoka mijitu haijatuma sms tunaenda kufuata vitambulisho vyetu tunaambiwa mpaka sms wakati Mimi ndio muhusika wa hicho kitambulisho na mda huo sms hayajatuma aisee tanzania ni nchi ambayo imelaanika akili Gani hii ya haya majitu yanataka niame ndio yaniite kuchukua kitambulisho au yafungie namba
Ikawaje mkuu yaani Mimi naogopa yanavyosema yatafungia nambaArusha nilijibiwa hivihivi kwamba nisubiri SMS tena wakanipa na tarehe ya mwisho lakini hamna sms niliyotumiwa.
Sijarudi tena sababu walisema nikifuata kitambulisho niende na SMS, sasa sms haijatumwa alafu tarehe waliyosema imeshapitaIkawaje mkuu yaani Mimi naogopa yanavyosema yatafungia namba
Yatafungia namba Yako ya nida uanze upya mchakato usipofuata kitambulisho na Mimi ndio hofu yanguSijarudi tena sababu walisema nikifuata kitambulisho niende na SMS, sasa sms haijatumwa alafu tarehe waliyosema imeshapita
Tatizo sijapata SMS hivyo nikienda wwtanirudisha tenaYatafungia namba Yako ya nida uanze upya mchakato usipofuata kitambulisho na Mimi ndio hofu yangu
Haya majitu akili hazipo sawaTatizo sijapata SMS hivyo nikienda wwtanirudisha tena