kesho kutwa
JF-Expert Member
- Dec 7, 2016
- 1,722
- 1,965
Wakuu nimetoka kuongea na Vodacom Naombeni wazoefu nisije tapeliwa na naambiwa nitumie simu nyingine nifuate maelekezo ili nitumiwe pesa nilizishinda
Nimestuka Maana laini yangu ni mpya Ina wiki tu halafu naambiwa nimefanya miamala mingi hivyo nimepata zawadi ya laki na nusu..
Nimekataa simu nimeambiwa nichukue simu nyingine ili Ile yenye pesa nifuate maelekezo baada ya hapo nitumiwe pesa zangu.. Wakuu nimeamua nifungue uzi upes nisije juta. Salio langu mpesa ni 90,000
Sent using Jamii Forums mobile app