Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila la kheriWakuu nimetoka kuongea na Vodacom Naombeni wazoefu nisije tapeliwa na naambiwa nitumie simu nyingine nifuate maelekezo ili nitumiwe pesa nilizishinda
Nimestuka Maana laini yangu ni mpya Ina wiki tu halafu naambiwa nimefanya miamala mingi hivyo nimepata zawadi ya laki na nusu..
Nimekataa simu nimeambiwa nichukue simu nyingine ili Ile yenye pesa nifuate maelekezo baada ya hapo nitumiwe pesa zangu.. Wakuu nimeamua nifungue uzi upes nisije juta. Salio langu mpesa ni 90,000
Sent using Jamii Forums mobile app
Nami nishapigiwa simu zaidi ya mara mbili. Mmoja, aliniambia kuna mtu kakosea kutuma fedha, ikaja kwangu, wakati sikupata msg yoyote ya kupata fedha. Akaniambia nikate simu, kisha niangalie kwenye msg. Pia akaniuliza nina kiasi gani kwenye simu yangu, nikamuambia nina laki tano.
Bora kujaribu kuliko kuto kujaribu kabisa...
Kweli hawajui kiasi ulichonacho computer zao mbovu wamekwambia?
Ukitaka kufanikiwa take risk ukipigwa ndio utajua sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app