kesho kutwa
JF-Expert Member
- Dec 7, 2016
- 1,722
- 1,965
Mkuu nimestuka sana maelekezo Yao ni tofauti na taarifa zangu mkuuFanya kama walivtokwambia mkuu ujiliei hizo pesa, wao hawana shida nazo wanaUBINADAMU kwako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Matapeli tu hao,,,Wakuu nimetoka kuongea na Vodacom Naombeni wazoefu nisije tapeliwa na naambiwa nitumie simu nyingine nifuate maelekezo ili nitumiwe pesa nilizishinda
Nimestuka Maana laini yangu ni mpya Ina wiki tu halafu naambiwa nimefanya miamala mingi hivyo nimepata zawadi ya laki na nusu..
Nimekataa simu nimeambiwa nichukue simu nyingine ili Ile yenye pesa nifuate maelekezo baada ya hapo nitumiwe pesa zangu.. Wakuu nimeamua nifungue uzi upes nisije juta. Salio langu mpesa ni 90,000
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sio utani taarifa zao zinakinzana na taarifa zangu za miamalaUsichelewe wewe umepata grease then unakuja kutangaza hapa,tutakupora fursa hizo...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sio utani taarifa zao zinakinzana na taarifa zangu za miamala
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora kujaribu kuliko kuto kujaribu kabisa...
Kweli hawajui kiasi ulichonacho computer zao mbovu wamekwambia?
Ukitaka kufanikiwa take risk ukipigwa ndio utajua sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora kujaribu kuliko kuto kujaribu kabisa...
Kweli hawajui kiasi ulichonacho computer zao mbovu wamekwambia?
Ukitaka kufanikiwa take risk ukipigwa ndio utajua sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mkuu Voda kampuni kubwa huyo jamaa anasema ni mhudumu wa voda anakuuliza wewe una kiasi gani? Muulize computer zao mbovu akisema ndio mwambie huku umeme umeisha akunulie luku ili umuangalizie hilo salio.
[emoji2][emoji2][emoji2] anataka atuambie kwamba hajui haya mambo au amekosa topic ya kufungulia thread akamua alete hii....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkuu huu ushauri wako
kumbe majibu unayoMkuu nimestuka sana maelekezo Yao ni tofauti na taarifa zangu mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app