Nimepigiwa simu na mtu kutoka Voda kaniambia nimejishindia laki 1 na 10 anasema nitaje kiasi cha mpesa changu nitumiwe hizo pesa

Fuata maelekezo yao ujishindie zawadi mkuu... Kamtindo hako kuna kipindi mawakala walipigwa kishenzi.
 
hao ni matapeli;walishawahi kunipigia, mi nikawajibu mnanipotezea muda na nikawakatia na simu.
 
Kila la kheri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Me pia nilipigiwa sema kwenye tigo akajitambulisha akanitajia no yng akaniambia nimeshinda laki 2 na themanini nikamuliza zawad inahusiana nini na mimi kuweka alfu 48 ili nipate hizo hela akakata cm nkamtukana sanaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akikuuliza una sh. Ngapi mwambie mil 1.then msikilizie,m huwa napenda kuzungumza nao mpaka dakika za mwisho halafu nawachana ukweli.
 
Hahahaha ukitaja icho kiasi kimekwenda na maji ...matapeli hao

Sent using Jamii Forums mobile app
Nami nishapigiwa simu zaidi ya mara mbili. Mmoja, aliniambia kuna mtu kakosea kutuma fedha, ikaja kwangu, wakati sikupata msg yoyote ya kupata fedha. Akaniambia nikate simu, kisha niangalie kwenye msg. Pia akaniuliza nina kiasi gani kwenye simu yangu, nikamuambia nina laki tano.
Nilipokata, baada ya dk moja hivi, ikaingia msg kutoka namba ya mteja ya kawaida tu (bahati mbaya niliifuta hiyo msg) ikionyesha nimepata 125,000/- jumla nina 625,000/- Wakati kiukweli sikuwa hata na 100/=..
Toka mwanzo, nilikuwa nimeshaelewa kuwa ni matapeli. Hasa ukizingatia kuwa namba iliyotumika, ni ya kawaida.
Alipopiga mara ya pili, nikamwambia hawezi kuniibia kirahisi hivyo, aliniporomoshea matusi huyooooo. ....
 
Kampuni za simu zinapokupa Zawadi hazina maswali wala mashart ya aina hiyo mkuu! Wezi tu hao! Ila ili nawe uelimike wackilize ila pale watakapotaka pesa bc wapptezee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utalizwa mida so mlefu,hao ndoo matapeli WA mtandao mwambie upo ngangari hiyo fedha achukue yeye. Pambafu sana huyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…