Nimepigwa changa la macho au?

Nimepigwa changa la macho au?

ithangaledi

Member
Joined
Jun 4, 2011
Posts
84
Reaction score
57
wakuu nimetupiwa kichanga nyumbani na kuambiwa ni cha kwangu lakini cha kushangaza ni kuwa toka nikutane na mama yake na tar alizozaliwa ni miezi 12 au 13.

pamoja na sifa kibao kuwa nimefanana na mtoto lakini interval za tar nlizokutana na mama yake na tar ya kuzaliwa vinanipa mashaka sana.

je inawezekana mtoto kuzaliwa na miezi 12? maana hili suala linanipa shida sana hadi usingizi nakosa.

naomba mawazo yenu hasa wale waliosomea mambo ya utabibu.

nawasilisha.
 
Alizaliwa na kilo ngapi mwana?
 
Umeambiwa ukileta uzi wa hivi ndo utachangiwa sana sio!!!!
haya, ngoja waje wale walio kwenye frastration watakusaidia sana hapa.
 
Pole sana jikaze upambane
 
Umeambiwa ukileta uzi wa hivi ndo utachangiwa sana sio!!!!
haya, ngoja waje wale walio kwenye frastration watakusaidia sana hapa.

leta mawazo yako, yaani hii ishu inanipa shida sana
 
Hata sie wenye frustration leo hatutaki.
Si DNA inahusu?

Umeambiwa ukileta uzi wa hivi ndo utachangiwa sana sio!!!!
haya, ngoja waje wale walio kwenye frastration watakusaidia sana hapa.
 
Ndiyo,inawezekana mtoto akazaliwa na miez 12.
 
Kapime vipimo vya vinasaba. am out
 
ithangaledi,kindly refer uzi wa Firstlady1 ambao unatembea muda huu titled:
mmu ya wiki hii du!!!!
 
Back
Top Bottom