Nimepigwa dolo club

UMEPIGWA DOLO, kwani ulikuwa na miadi na mtu akakuleti down, leo si krismass ,badala ya kutafakari kuzaliwa kwa yesu unawaza TOTOZ, jamani! i cant imagine SODOMA NA GOMORA ILIVYOKUWA
 
Pole mkuu bado upo kwenye kutafuta utulivu na milupo? (milupo means nyama zipikwazo pombe shop, nyama za ulimi, makanyagio, vichwa, utumbo, miguu ya kuku)
 
nimetembelea hapa dom. Wenyej wamenijulisha kuwa inaitwa maisha club. Wanasema et mda wa totoz bado, mi nimewahi sana, sijui ni kweli!!

inaonekana mambo yako yashakuwa safi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…