Victor Jeremiah
Member
- Oct 17, 2011
- 80
- 16
UMEPIGWA DOLO, kwani ulikuwa na miadi na mtu akakuleti down, leo si krismass ,badala ya kutafakari kuzaliwa kwa yesu unawaza TOTOZ, jamani! i cant imagine SODOMA NA GOMORA ILIVYOKUWA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teh poa kaka enjoyDaaah, wameanza kuja bwana mmoja mmoja kama matone ya mvua za kusindikiza mwaka. Soo ntalog off ikilazim.
Dom hapa, dah yaan ndo imeingia mi mama mi2 aged 43+ sijui ni mibaunsa ya humu!! I'm bored to the maximum.
ha ha ha... Suruali, shati na viatu.
tukutane kaunta ya chini hapo. Au kwa dj kama vp?
aya, elekeza fasta basi
hapo kwenye redPole mkuu bado upo kwenye kutafuta utulivu na milupo? (milupo means nyama zipikwazo pombe shop, nyama za ulimi, makanyagio, vichwa, utumbo, miguu ya kuku)
Hiyo ndo Gud nyt Husn. Hahahaaa jamaa akomae na totoz wa UDOM wako free hapo na hawana nauli ya kuwarudisha chuo.subiri kidunchu nikupm tusije tukajaza nzi bure.
Umeji paisha eeeeee Kanyagio.........hapo kwenye red
subiri kidunchu nikupm tusije tukajaza nzi bure.
ha ha ha haUmeji paisha eeeeee Kanyagio.........
nimetembelea hapa dom. Wenyej wamenijulisha kuwa inaitwa maisha club. Wanasema et mda wa totoz bado, mi nimewahi sana, sijui ni kweli!!
Wajanja hawaendagi night club siku za sikukuu, leo mabeki 3 ndo siku yao.