Nimepigwa dolo club

Nimepigwa dolo club

hiyo klabu inaitwa "dolo"? au ulitaka kusema doro?
 
inaonekana mambo yako yashakuwa safi

Saaana tu mkuu, nadhan wewe unaikumbuka ile thread niliyoileta hapa miez kadhaa iliyopita inayohsu ma busness ya mawe. Nshatoka mwenzio.
 
we mshamba umetnga disco toto unsema club, nenda ambiance au shivaz
 
Back
Top Bottom