Nimepigwa KISS,nikatetemeka kwa woga.

Nimepigwa KISS,nikatetemeka kwa woga.

Idd Ninga

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2012
Posts
5,497
Reaction score
4,775
Leo nikiwa mitaa fulani na washikaji na jamaa wengine nisiowafahamu ghafla mtoto mmoja aloumbika,mwenye umbo la kuvutia kumshinda hata yule dada alojipiga picha juzi akiwa swimin pool.
yule dada alipata moja kwa moja na kuja sehemu nilipokaa alinishika mkona na kuinua,nikiwa sijui kinachoendelea ghafla nikashangaa kanikumbatia na kunipa bonge la KISS.
dah,mara watu wote wakanigeukia kunitazama,kijasho kikanitoka,nikatetemeka hadi miguu.
yani niliwaza huyu dada hana ukoo na Yuda skarioti kweli.
nikawaza au ni ile post nilopost youtube ndo imeniponza hadi mdada anataka kunikamatisha kwa watu wasojulikana.
jamani ni njia za kujihami tu na nyie wengine kuweni makini hii siku dah alisalitiwa,sa sijui we na mie itakuwaje,kuweni makini.
- - -NO KISS ALLOWED TODAY- - -
 
Prof J - Zari LA mentali sikiliza hiyo ngoma maana naona Throwback Thursday inakuwa hivi
 
Hhhhh,enzi hizo niko form 1 ,dem mmoja mzuri wa kinyarwanda tulikua tunasalimiana akanikumbatia then ananikiss,dah!!! Niliisi niko peponi nimepewa ukiranja wa malaika (in magu voice)
 
Leo hakuna busu la kinafki la yuda! Bwana mkubwa anakula bata na wana tu.[emoji41][emoji41][emoji41]yuko kwa geti ya jiji,kesho ndo habari yake.
 
Back
Top Bottom