Tajiri wa kusini
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,079
- 2,947
Wakuu , hawa Wanawake kutoka kanda ya ziwa sio Poa kabisa aisee wanaweza kukuvunja miguu hivi hivi Kama mwanaume Ukiwa dhaifu aisee hatari Sana hawa Wanawake kutoka kanda Hii Jana nusura nivunjwe miguu na mke wangu baada kukuta Meseji kwenye simu yangu.
Mke wangu nilimuomba msamaha kwa kumpigia magoti Lakini wapi akanitandika makofi na kunipiga ngumi kisa tu kuna mwanamke alikuwa ananitongoza mwenyewe kwenye simu.
Ila, hawa Wanawake wa kanda ya ziwa sio Poa kabisa! Najuta, najuta, najuta!