Nimepigwa makofi na mke wangu kisa amekuta Meseji natongozwa na mwanamke

Oya bora umepigwa kwenzi hivi ile clip jamaa kamwagiwa tindikali mpaka moyo unaonekana kisa tu kakutwa na sms za mchepuko mchezo ,
 
Ndo maana unatongozwa na utabondwa sana maana unaonekana mwanaume mwenye sifa za kidemu
 
Wakuu , hawa Wanawake kutoka kanda ya ziwa sio Poa kabisa aisee wanaweza kukuvunja miguu hivi hivi Kama mwanaume Ukiwa dhaifu aisee hatari Sana hawa Wanawake kutoka kanda Hii Jana nusura nivunjwe miguu na mke wangu baada kukuta Meseji kwenye simu yangu.

Mke wangu nilimuomba msamaha kwa kumpigia magoti Lakini wapi akanitandika makofi na kunipiga ngumi kisa tu kuna mwanamke alikuwa ananitongoza mwenyewe kwenye simu.

Ila, hawa Wanawake wa kanda ya ziwa sio Poa kabisa! Najuta, najuta, najuta!
Hahaha
 
kwani wewe usiku hukumtandika na hiyo fimbo fupi katikati ya miguu yako?
 
Back
Top Bottom