Tajiri wa kusini
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,079
- 2,947
Kweli kabisa?Kuna shida kwenye DNA yako.Wakuu hawa Wanawake kutoka kanda ya ziwa sio Poa kabisa aisee wanaweza kukuvunja miguu hivi hivi Kama mwanaume Ukiwa dhaifu aisee hatari Sana ...
Mimi ni mpare na Nina miaka 35Kabila lako na umri wako tafadhali kuna kitu nataka kuchunguza
Utakuta ni jitu la singida au pwani ndio yamekaa kikulegea legea hivi.Kabila lako na umri wako tafadhali kuna kitu nataka kuchunguza