Makonde plateu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,443
- 3,480
Hii ndoa inaenda kunishimda kwa kweli Na sijui nifanyeje wakuu kwasababu ninawawaza watoto Wangu hiyo inanipa mawazo sijui nifanyeje sijui maana kila siku mimi ni wa kupigwa na mke wangu tu kila mara tu yaani hauipiti siku bila mimi kupigwa na mke wangu kosa sometimes silijui kwahiyo mie nabaki kulia tu yaani mimi ni mtu wa kulia tu
Namuambiaga ya kwamba kama wewe kutembea na mchepuko wewe tembea nae ilimradi usiniletee magonjwa Tu hapa nyumbani sasa nikimuambia hivyo yeye ni mtu wa kunipiga tu mpaka nakonda wakuu kwasasa nimeamia chumba cha watoto ili yeye apate raha na hao michepuko yake na tumefunga ndoa ya kanisani sijui nifanyeje?