Nimepigwa makofi na mke wangu

Nimepigwa makofi na mke wangu

Ushakuwa chawa unadhani utakuwa na akili za kuishi na mwanamke., 😂🤣
 
Hii ndoa inaenda kunishimda kwa kweli Na sijui nifanyeje wakuu kwasababu ninawawaza watoto Wangu hiyo inanipa mawazo sijui nifanyeje sijui maana kila siku mimi ni wa kupigwa na mke wangu tu kila mara tu yaani hauipiti siku bila mimi kupigwa na mke wangu kosa sometimes silijui kwahiyo mie nabaki kulia tu yaani mimi ni mtu wa kulia tu

Namuambiaga ya kwamba kama wewe kutembea na mchepuko wewe tembea nae ilimradi usiniletee magonjwa Tu hapa nyumbani sasa nikimuambia hivyo yeye ni mtu wa kunipiga tu mpaka nakonda wakuu kwasasa nimeamia chumba cha watoto ili yeye apate raha na hao michepuko yake na tumefunga ndoa ya kanisani sijui nifanyeje?
Kwa hiyo wewe ni king'asti?
 
waste-and-landfill-image-used-for-energy.jpeg
 
Hii ndoa inaenda kunishimda kwa kweli Na sijui nifanyeje wakuu kwasababu ninawawaza watoto Wangu hiyo inanipa mawazo sijui nifanyeje sijui maana kila siku mimi ni wa kupigwa na mke wangu tu kila mara tu yaani hauipiti siku bila mimi kupigwa na mke wangu kosa sometimes silijui kwahiyo mie nabaki kulia tu yaani mimi ni mtu wa kulia tu

Namuambiaga ya kwamba kama wewe kutembea na mchepuko wewe tembea nae ilimradi usiniletee magonjwa Tu hapa nyumbani sasa nikimuambia hivyo yeye ni mtu wa kunipiga tu mpaka nakonda wakuu kwasasa nimeamia chumba cha watoto ili yeye apate raha na hao michepuko yake na tumefunga ndoa ya kanisani sijui nifanyeje?
Muombe akuue.
 
Chawa wa lumumbashi?
 
Ila kuna wanaume wanapigwa ila wanajikaza tu.

Siwezi kumpiga mme wangu.
 
Back
Top Bottom