Nimepigwa mzinga wa idd nimetoka nduki

Nimepigwa mzinga wa idd nimetoka nduki

Mi mwenyewe response kwa mizinga uchwara kama hiyo nimekuwa Nakula kona

This has become a serious problem, mamlaka zinazohusika have to address it, khaaaaa laki3? Kwa usawa huu
Kwa hiyo ianzishwe mamlaka ya Michepuko?
 
huyodada ni jipu[emoji23][emoji23][emoji23]
huo sio mzinga
ni mshahara wa miezi mi2
 
Back
Top Bottom