Kwahiyo huyo mdada bado anafaa kwa matumizi ya sogea tuishi?Bikra ndo tunao kwa ndoa tushawaambia hawa wengine ni sogeza tuishi tu mkuu.......
Tatizo vijana mchana sana notes za masomo ya nyuma....
Shida nikwamba nilishatoa mahari kila kitu mpaka kumvisha Pete bado ndoa tu ila ndio nakutana nahii ishuWewe umeshavua wangapi na wengine bila kujua ni wachumba wa watu?.
Muite muulize kama yupo serious, kisha akalishwe kitako kuambiwa ukweli wa maisha ya Ndoa then chukua mke.
Ukitaka wa kwako ambaye hajaguswa basi kamchukue hospitali akiwa katoka tumboni umlee hadi uzeeni akiwa ndani ya chumba chembe kufuri 100!!.
Nioe hatari ndugu?? Maana mahari nilisha toa na pete ya uchumba tayari bado ndoa tu ndio nimetumiwa ujumbe huuHatari sana.Kama aliyekutumia taarifa ana nia njema ni vema umuoe haraka huyo binti ili wasiendelee kumgegeda.🤔
Neno "hatari sana " kuchagiza hali tu.Wewe oa.Nioe hatari ndugu?? Maana mahari nilisha toa na pete ya uchumba tayari bado ndoa tu ndio nimetumiwa ujumbe huu
Kwanza huyo jamaa aliyepata namba yako ulipaswa kumpuuza ili kuepusha stress za mapema, pili whatever umetoa au hujatoa mahali, kata shauli kama umempenda naye hivyo, endelea na process.Shida nikwamba nilishatoa mahari kila kitu mpaka kumvisha Pete bado ndoa tu ila ndio nakutana nahii ishu
Utaweweseka.Mwache aoe.Maana maswali mengine...!Piga chini.....
Video umesahau kuweka bro!
Muoe kaka wanawake ni malaika,wanawake wanabadilika,akiingia kwenye ndoa atatulia tu huyo,wanaooa mabikira ni wajinga,huu ushauri kutoka kwa Natafuta AjiraNdugu zangu mimi nipo DSM nimechumbia Arusha.. Na nilipanga ndoa iwe mwezi Wa kumi mwishoni.. Sasa leo wakati nimetulia nikapokea SMS kwenye namba ngeni ikaniambia kwamba mwanamke ninae taka kumuoa ana wanaume wengi na hata nilivyo mvisha pete bado yupo nao na jana alikua lodge na mwanaume.
Nikabisha nikamwambia anipe ushahidi jamaa akaniomba namba za whatsapp nikampa nilicho kikuta sikuamini kumbe jamaa alimrekodi wakati anamla asee ni yeye Kabisa sio editing jamaa kaniambia kwamba kama nina oa nioe tu lakini nijue kwamba naoa mtu Wa namna gani. Hapa nilipo nahisi presha kabisa...
Naombeni ushauri wakuu