Nimepigwa na kitu kizito, mwanamke ninaetaka kumuoa nimebaini hajatulia

Nimepigwa na kitu kizito, mwanamke ninaetaka kumuoa nimebaini hajatulia

Nenda kwenye blacklist yake ndio anawaweka walaji akija kwako ila anachati nao kidizaini
Ukiona demu yupo bize na mitandao ujue umeliwa
 
Ushauri kwa wale ambao mpo kwenye uchumba ni vema ukatujulisha mapema sifa ya mwenzio tukakushauri mapema kuliko kusubilia yamekufika shingoni huko ndo unakumbuka ninawana wangu JF wanishauri la hasha nasema hvo kwasababu ninauzoefu nimeoa na nina watoto 2 mziki wa ndoa sio wakitoto kama inavofikirika inaitaji akiri ya ziada.
Ushauri mzuri
 
Wewe umeshavua wangapi na wengine bila kujua ni wachumba wa watu?.

Muite muulize kama yupo serious, kisha akalishwe kitako kuambiwa ukweli wa maisha ya Ndoa then chukua mke.

Ukitaka wa kwako ambaye hajaguswa basi kamchukue hospitali akiwa katoka tumboni umlee hadi uzeeni akiwa ndani ya chumba chenye kufuri 100!!.
Are u serious, hichi kizazi cha hovyo saana so kama hua unanunua ndo ukaoe wanaojiuza
 
Are u serious, hichi kizazi cha hovyo saana so kama hua unanunua ndo ukaoe wanaojiuza
Bahati mbaya umegundua anajiuza, hebu jaribu for your risk, mchambue mkeo hapo kabla hujamuoa alikuwa anafanywa nini na nani alafu njoo hapa utueleze.

Haya mambo kijana wangu usitumie akili yako tu ongeza nyingine, ndiyo maana tunasema dunia duara, why?.
 
Sikutaka uyafikishe hapa ila kwa kuwa umeyaanzisha Sasa Leo namla tigo. Na namrekodi naweka hapa hapa
 
Back
Top Bottom