Nimepigwa na kudhalilishwa kisha nikalala rumande (msaada wa kisheria tafadhali)

pombe kali

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2014
Posts
312
Reaction score
616
Kutoka kwa rafiki nanukuu bila kuongeza wala kupunguza chochote...mimi ni mwanamke mmiliki wa duka la dawa, siku ya jumatano tarehe 19.3.2024 walikuja watu dukani kwangu ambao hawakujitambulisha ila waliniuliza leseni ya biashara na CHETI cha utambulisho wa mlipa kodi TIN certificate hawakunipa nafasi ya kujibu chochote ila walianza kunivuta kwa nguvu na kunipeleka kwenye gari Lao

Wakati wakiendelea kunivuta nguo zangu zikachanika nikabaki nusu mtupu wananchi walikuja kunisaidia na wengine walichukua picha za video wale wayoza ushuru wakakimbia, kumbe na wao walikuwa wanachukua picha za video ili kutambua nani amekuja kusaidia kesho yake sikubya alhamisi walikuja na utitiri wa polisi wakatukamata mtaa mzima zaidi ya watu 41 wakaenda kutufungulia shtaka la kushambulia hapa nilipo nahisi uchungu sana sijui nianzie wapi kwa yoyote mwenye msaada wa mawazo ntampa ushirikiano nipate haki na isijitokeze kwa mwingine
 
Pole
 
Wenzio hapo wanaona fii fursa, wewe unataka kusaidiwa?
 
Back
Top Bottom