Nimepigwa na makofi na mke wangu na kufukuzwa chumbani ameniambia nikalale chumbani kwa watoto ili aje mchepuko wake

Pole mwaisa
 
Yaan umeoa bado unaona mwanamke wako ni.mzur kwa muonekano ndio maan anakutesa

Brother amka usingizn
 
Unapigwa je na mwanamke... Zaba hiyo ntuzu kaozee jela mwanaume... Mimi sijawahi kupigana kwa sababu huwa najitahidi kuishi vizuri na watu... Huwa nasema siku yangu ya kwanza kupiga mtu itakuwa niko kwenye ndoa alafu alete dharau kama hizi... Vinginevyo nazira simshirikishi kwa lolote...
 
Chukua kamba jinyonge.
 
Nawe ukakubaliana na hilo,ila tu iwapo kipo unachoshindwa kumpatia,vinginevyo unyonge wako unatokana na nini,ugonjwa au?
 
Mkuu una nitafutia BAN
 
Acha ubwege, nyumba ni yako, wewe ni mkuu wa nyumba, mnyanyue mzima mzima aende kwao.
 
Hii stori ni ya kweli?
 
Hivi mtu unataka ufanye maamuzi yanayohusu ndoa yako kwa kuambiwa na watu cha kufanya au hii imekaaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…