Nimepigwa vibao na mke wa jirani yangu kwenye kituo cha basi.

Nimepigwa vibao na mke wa jirani yangu kwenye kituo cha basi.

Bujibuji, hongera kwa kuwa bold enough kuweza kuzungumzia uonevu uliofanyiwa na huyo mama. wanaume wachache sana wanakubali kusema ukweli juu ya yanayowakumba wakipenda kuonekana vijogoo (ndo haswa kisa cha kuona sifa kuwa na nyumba ndogo, KUONEKANA VIJOGOO)
just a tricky one, hebu shughulikia personality yako. command authority hata kwa muonekano wako na maneno yako ili watu wasikuchezee. pale pa kua serious, hebu kua serious na usimamie maneno yako.
usitumie jazba, matusi wala usitumie nguvu. busara zaidi. kila la kheri
nina finger prints shavuni, ila lazima nimlaze ndani leo
 
mumewe sio rafiki yangu, huwa tunasalimiana kimbalimbali tu. Na wala nilikuwa sijui kuwa huwa anakunywa brown water

pole sana. Samehe. Na huyo mwanaume umkimbie. Hawafai. Migogoro yao badala ya kuimaliza wanatafuta pa kuisukumiza
 
Duh..hakyanan tena..yule mwandishi wa gazeti la JF udaku alikuwa wapi asitupe ma breaking news mda woote huo? Pole sana aisee..
 
pole sana. Samehe. Na huyo mwanaume umkimbie. Hawafai. Migogoro yao badala ya kuimaliza wanatafuta pa kuisukumiza

busara na hekma za wazee zimetumika, sijamsweka ndani, nimemsamehe na kwa kinywa chake amekiri kuwa alijazwa maneno na mashoga zake ndipo akachukua uamuzi bila hata ya kumuuliza mumewe
 
Ni uongo na mkasa wenyewe niwakutunga
 
report polisi huyo mwanamke hana adabu
angekuwa na busara angeukutafuta kujua ukweli
watu kama hao sio wa kuwachukulia simple leo mlaze kabisa kwa kituo
ngekuwa mm lazima nae angelamba kibao kikali kuliko alichopigwa mzee ruksa
 
You behaved like a true gentleman,usihangaike nae kabisa hakuna dawa nzuri kama ukimya.Tumia muda wako kwa mambo ya maana zaidi maadamu hajakusababishia majeraha makubwa kimwili na kisaikolojia asikusumbue akili ila akiendelea kukushambulia mchukulie hatua za kisheria upesi..
 
Muda huu nikiwa nangoja basi ili nirudi nyumbani kutoka kazini mara nikamuona mke wa jirani yangu akija huku akiwa amenuna na kukunja sura.
Alikuwa anatembea kwa mwendo wa kasi kuelekea upande nilioko.
Aliponifikia, akanikunja shati na kuanza kunipiga vibao, nikiwa katika hali ya mshangao, watu waliokuwepo kituoni wakamshika, ndipo alipoanza kuporomosha matusi "mwacheni nimshikishe adabu, anampeleka mume wangu kunywa pombe na kumtafutia wanawake".
Watu wakamkokota, na mi nikawa naondoka kiunyonge tena kwa aibu, nyuma nilisikia watu wakisema umemkomesha nguruwe akome.
Dah... Kumbe unaweza kusingiziwa hivihivi kwa makosa ambayo hujafanya.
Lakini tunaambiwa shukuruni kwa kila jambo

Pole Buji
 
ungemchapa na fimbo nyama wenge linge2lia!
 
Msamehe kwa jina la Bwana YESU hajuwi alitendalo ukimsamehe na mbinguni utasamehewa wewe. Nakuuliza Swali kwani wewe una uhusiano na Bwana wake? je wewe unakunywa Pombe?

pombe niliwa nakunywa zamani, tangu nichague fungu lililojema sinywi tena kileo
 
Hizi ni kamba zako bujibuji. Hata hivyo una kipaji cha hali ya juu cha utungaji. Ningekushauri nenda MCL au New Habari Corporation upewe column ya hadithi, inalipa mbaya.
 
usijali shemeji, hebu piga maombi pepo wa ngono amtoke huyo mama.
 
Back
Top Bottom