nina finger prints shavuni, ila lazima nimlaze ndani leo
nina finger prints shavuni, ila lazima nimlaze ndani leo
mumewe sio rafiki yangu, huwa tunasalimiana kimbalimbali tu. Na wala nilikuwa sijui kuwa huwa anakunywa brown water
pole sana. Samehe. Na huyo mwanaume umkimbie. Hawafai. Migogoro yao badala ya kuimaliza wanatafuta pa kuisukumiza
'sisi ndo wanaume bana'.
Source:Aspirin
Msamehe kwa jina la Bwana YESU hajuwi alitendalo ukimsamehe na mbinguni utasamehewa wewe. Nakuuliza Swali kwani wewe una uhusiano na Bwana wake? je wewe unakunywa Pombe?nina finger prints shavuni, ila lazima nimlaze ndani leo
Muda huu nikiwa nangoja basi ili nirudi nyumbani kutoka kazini mara nikamuona mke wa jirani yangu akija huku akiwa amenuna na kukunja sura.
Alikuwa anatembea kwa mwendo wa kasi kuelekea upande nilioko.
Aliponifikia, akanikunja shati na kuanza kunipiga vibao, nikiwa katika hali ya mshangao, watu waliokuwepo kituoni wakamshika, ndipo alipoanza kuporomosha matusi "mwacheni nimshikishe adabu, anampeleka mume wangu kunywa pombe na kumtafutia wanawake".
Watu wakamkokota, na mi nikawa naondoka kiunyonge tena kwa aibu, nyuma nilisikia watu wakisema umemkomesha nguruwe akome.
Dah... Kumbe unaweza kusingiziwa hivihivi kwa makosa ambayo hujafanya.
Lakini tunaambiwa shukuruni kwa kila jambo
Msamehe kwa jina la Bwana YESU hajuwi alitendalo ukimsamehe na mbinguni utasamehewa wewe. Nakuuliza Swali kwani wewe una uhusiano na Bwana wake? je wewe unakunywa Pombe?