Nimepima BP ni 180/108 naombeni ushauri ndugu zangu

Siriaz mtani????? Chakula kinahusika sana sana kwenye uzito asikwambie mtu mazoezi ni part tu ya kufanya mwili uwe active na blood circulation iende vizuri na kukaza nyama pia, uko vile unavyokula,so mazoezi na chakula vinaenda vizuri tu, na mtu anapungua vizuri Kwa asilimia kubwa kwa chakula kuliko mazoezi, sasa wewe asubuhi piga mazoezi yako kisha toka hapo nenda kale vyooote unavyovijua hadi junks foods kisha uone kama utapungua. Ila ninaweza nikapungua Kwa asilimia kubwa sana iwapo nitacontrol kile ninachokula ila sema ninaweza kuwa shapeless mfano nilikuwa nina kitambi kikubwa kweli kitaisha ila kitakuwa legelege nyama italegea kama sitafanya mazoezi kukaza nyama za tumbo zilizopungua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii drip ya maji imekaaje? D5? D10? RL? NS? DNS? au Pure water?


preferable ni NS Ambayo concentration yake ni sawa na ile ya damu ya binadamu.
never seen a situation ambayo binadamu anatumia pure (distilled) water
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…