everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,027
Siriaz mtani????? Chakula kinahusika sana sana kwenye uzito asikwambie mtu mazoezi ni part tu ya kufanya mwili uwe active na blood circulation iende vizuri na kukaza nyama pia, uko vile unavyokula,so mazoezi na chakula vinaenda vizuri tu, na mtu anapungua vizuri Kwa asilimia kubwa kwa chakula kuliko mazoezi, sasa wewe asubuhi piga mazoezi yako kisha toka hapo nenda kale vyooote unavyovijua hadi junks foods kisha uone kama utapungua. Ila ninaweza nikapungua Kwa asilimia kubwa sana iwapo nitacontrol kile ninachokula ila sema ninaweza kuwa shapeless mfano nilikuwa nina kitambi kikubwa kweli kitaisha ila kitakuwa legelege nyama italegea kama sitafanya mazoezi kukaza nyama za tumbo zilizopungua.Usijisumbue na kujipangia vyakula, Vyakula havikondeshi Mtu na Ndiyomana sisi Waislamu tunafunga Mwezi Mzima wa Ramadhani na Hatukondi
Jambo pekee linaloweza kukupunguzia Uzito na kukueka vizuri kiafya ni Mazoezi tu.
Piga Mazoezi mara moja tu kwa siku aidha asubuhi au jioni nakuhakikishia utakuwa vizuri ndani ya mwezi mmoja tu.
Mazoezi ya kukimbia na viungo ni tiba sahihi ya Kupunguza uzito.
Ukifanya Mazoezi vizuri basi vyakula vyote utakula bila ya kuacha na utakuwa vizuri.
Lakini kama hufanyi mazoezi basi endelea kujinyima kama Madaktari uchwara wanavyokushauri ukiamini kuwa utapungua uzito.
Kwanza ukifanya Mazoezi hata Lita 3.5 kwasiku utakunwya.
Mimi napiga Litre 4 kwa Siku na nimebalance kilo 73 tokea 2014 mpaka leo hazizidi wala hazipungui na ninakula vyakula vyote bila ya kujiekea Miko.
Sent using Jamii Forums mobile app