Abuu Bardizbah
Member
- Aug 10, 2013
- 76
- 7
Nifahamishen huo utata unakuwaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kupima VVU tunatumia vipimo vya aina mbili. Ya kwanza ni Determine na ya pili ni Unigold. Determine tunatumia kudetect uwepo wa vvu na ili kujihakikishia tunatumia na unigold as a confirmatory test. Ili kuonesha kwamba umeathirika vipimo vyote viwili lazima vitoe mistari miwili. Inapotokea kipimo kimoja yaani Determine ikatoa mistari miwili na unigold ikatoa mstari mmoja hayo ndio tunayosema majibu tata. Na kwa kawaida inatakiwa urudie kupima baada ya siku kumi na nne na sio mwezi.
Hahahahaha jaman JF inavituko sana ndio nn kumpumzisha mwenzioR.I.P
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Kupima VVU tunatumia vipimo vya aina mbili. Ya kwanza ni Determine na ya pili ni Unigold. Determine tunatumia kudetect uwepo wa vvu na ili kujihakikishia tunatumia na unigold as a confirmatory test. Ili kuonesha kwamba umeathirika vipimo vyote viwili lazima vitoe mistari miwili. Inapotokea kipimo kimoja yaani Determine ikatoa mistari miwili na unigold ikatoa mstari mmoja hayo ndio tunayosema majibu tata. Na kwa kawaida inatakiwa urudie kupima baada ya siku kumi na nne na sio mwezi.
Kiingereza ni "INCONCLUSIVE" . Inategemea sana kipimo gani kinatumika. Cha msingi kaa mwezi mzima ukaanze tena.nifahamishen huo utata unakuwaje