Nimepima UKIMWI naambiwa majibu yana utata nirudi baada ya mwezi vipi kuna usalama kweli?

Nimepima UKIMWI naambiwa majibu yana utata nirudi baada ya mwezi vipi kuna usalama kweli?

Kupima VVU tunatumia vipimo vya aina mbili. Ya kwanza ni Determine na ya pili ni Unigold. Determine tunatumia kudetect uwepo wa vvu na ili kujihakikishia tunatumia na unigold as a confirmatory test. Ili kuonesha kwamba umeathirika vipimo vyote viwili lazima vitoe mistari miwili. Inapotokea kipimo kimoja yaani Determine ikatoa mistari miwili na unigold ikatoa mstari mmoja hayo ndio tunayosema majibu tata. Na kwa kawaida inatakiwa urudie kupima baada ya siku kumi na nne na sio mwezi.

Ufafanuzi una utata
 
Why did you get tested in the first place. May be ulishaanza kuona dalili au? haujatupa sababu iliyokufanya ukapimwe. labda tungeweza kuoanisha na kukupa jibu...
 
MAELEZOZO YA NESTOR NI SAHIHI KABISA INAWEZEKANA KABISA UTAKAPOENDA UKAAMBIWA UMEATHIRIKA AU LA. LAKINI KAMA UPO DAR UNAWEZA KWENDA AGHA KHAN HOSPITAL WANA KIPIMO KINGINE KINACHOITWA ELISA TEST HISHO KINA DETECT NGOMA HATA YA SIKU MOJA KAMA UPO MBALI NENDA BAADA YA SIKU KUMI NA NNE UNIGOLD NA DETERMINE YATAAONYESHO POA. LABDA NIELEZE NI NN KINAFANYA MAJIBU YAWE TATA INAWEZEKA KAMA SIO HIV BAS UTAKUA UNAUMWA UGONJWA MWINGINE AMBAO UNAPUNGUZA KINGA ZA MWILI HIVO UMEAMSHA ANT GEN ZAKO MWILINI NA HIVO KIPIMO HIKI KUDETECT MAANA VIPIMO HIVI HUPIMA ANTIGEN ZINAZOPAMBANA NA HIV. NAZAN TUMEELEWANA NAKARIBISHA MASWALI PALE AMBAPO HAPAJAELEWEKA.
Marekebisho kidogo tu mkuu. Antibodies ndizo zinazotengenezwa kupambana na Antigen. An antigen is any foreign matter that once in the body elicits an antibody response. Ila ni kawaida kumix hizo 2 terms.
 
Back
Top Bottom