Nimepishana na msafara mkubwa wa magari ya polisi hapa Kibaha, uelekeo wao ni Dar Es Salaam

ESCORT 1

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2015
Posts
1,412
Reaction score
3,043
Magari takribani 12 mpaka 14 aina ya Land Cruiser yakiea na shehena ya askari nimepishana nayo hapa kibaha yakielekea Dar.

Jumatatu kutachangamka sana huko Mjini, mliopo Mbezi mnaweza mkosogea karibu na barabara mjionee🤣
 
Uponsahihi
 
nchi yetu tunaongozwa na watu wasio na akili kabisa, yaani wanatumia muda mwingi, fedha nyingi katika kupambana na jambo ambalo halipo šŸ˜› ..yaani chadema wanajua sana kucheza na majitu yasiyo na akili jamani...yaani chadema wanacheza na mazezeta disco vumbi...watu wanapata tabu sana uongozini
 
Results of Unecessary Fear !!
 
Biashara ya Lodge huko DSM itakuwa inalipa sana Siku hizi mbili tatu kuelekea 23/9 šŸ™Œ
 
Inafikirisha sana,
Tamko la chama kimoja;
imepelekea kuwepo kwa:
-Matamko ya vyama 13 vya upinzani
-Matamko na vijembe toka chama tawala,
-Marufuku kutoka mmamlaka mbali mbali
-Kujiandaa na mazoezi ya walinda amani
- nk nk

Kwamba chama hicho kina nguvu.!
 
šŸ˜…šŸ˜…ina maanisha nchi ina uhaba wa askari hadi tuamishe amishe ikipigwa kolabo nchi nzima si itakua aibu ..ina sikitisha
Jiulize walikotoka wamemuacha nani na vp ikitokea walikotoka wananchi nako wakaingia barabarani?
 
Magari takribani 12 mpaka 14 aina ya Land Cruiser yakiea na shehena ya askari nimepishana nayo hapa kibaha yakielekea Dar.

Jumatatu kutachangamka sana huko Mjini, mliopo Mbezi mnaweza mkosogea karibu na barabara mjionee🤣
Polisiiii wengi wali fail....form 4 wengi vyeti fake.....amri inatoka kwa failure Bashire unategemea nini ?.....wao ndio waneandamana sasa...mikoa yoote wamejaa Dar....ujumbe umefika duniani hakuna demokrasia....Kenya Ruto kazodoa...acha wale posho.....Tanganyika ileeee ipo karibuuu
 
Mbowe bosi wako usmsihau ni form six division zero
 
Magari takribani 12 mpaka 14 aina ya Land Cruiser yakiea na shehena ya askari nimepishana nayo hapa kibaha yakielekea Dar.

Jumatatu kutachangamka sana huko Mjini, mliopo Mbezi mnaweza mkosogea karibu na barabara mjionee🤣
IMG_20240922_035041.jpg
 
Kazi ya JWTZ nikulinda mipaka ya nchi .
Unaota jiulize kwa nini vikosi vya JWTZ viko kila mkoa wakati sio mpakani haipakani na nchi yeyote

Andamana uone ndio utaelewa kwa nini kila mkoa una vikosi vya JWTZ
 
Woga tu wa viongozi hasa wa Kiafrika!
Kama huwanyanyasi kimaisha, miundo mbinu Iko Bora, huduma za afya, elimu, ustawi jamii, ufisadi uko zero, kutokujiona miungu mitu, kutokujilimbilizia mali, na uharamu mingine, mbona hamna haja ya yote haya?!
Waache na kutokufanya hayo waone kama raia watasononeka....
 
Magari takribani 12 mpaka 14 aina ya Land Cruiser yakiea na shehena ya askari nimepishana nayo hapa kibaha yakielekea Dar.

Jumatatu kutachangamka sana huko Mjini, mliopo Mbezi mnaweza mkosogea karibu na barabara mjionee🤣
Itakuwa ni wahitimu wa CCP Moshi majuzi (Mhe. Alienda kufunga mafunzo).
 
Back
Top Bottom